Tetesi: Abdallah Bulembo akalia kuti kavu kisa elimu yake

Ndani ya CCM hakuhitajiki elimu, ukishazijua fitna tu ni kigezo tosha.
 
Asonewe bure, nini maana ya elimu. Bulembo ni msomi mzuri tu na amesoma madrasa na kuhitimu vizuri.Msimjengee mizengwe isio na mashiko.
 
Kwani elimu yake ya kiwango cha juu ni ipi?
 
Abdul Jumbe alifukuzwa uanachama, kwa hiyo na Bulembo naye atafukuzwa, kwa kosa lipi?


kama hana elimu kweli basi sina wasiwasi kuwa hana nafasi ya kufanya kazi na Bro Magu..mengine ni kujifariji tu
 
Kazi yote ile aliyoifanya wakati wa kampeni ilikuwa kazi bure?
 
Kilichomfanya Mrema akanunua shahada miaka hiyo ni nini vile? Kama elimu haina maana ktk siasa
Elimu does not matter! tazama mfano Wazee wengi walipigana Vita dhidi ya Ukoloni walaikuwa hawajasoma lakini walikuwa na ushawishi mkubwa ndani Jamii zao, Kama Kinjekitile Ngwale, Akina Abushiri na Bwana Heri n.k
 
Jamani Sifa za kuwa kiongozi ndani ya Chama chetu ni kuwa mwanachama wa CCM angalau miezi 6 kuendelea..pia uwe Mtanzania una akili timamu unajua kusoma na kuandika lugha ya Kiswahili tuu darasa halipo hapo bhanaa. Ila kwa sasa mafisi maji yameharibu kabisa hiyo trend ya Chama..fedha imekuwa kigezo cha kupata uongozi ama kura za wadau katika Chama. Sijui itabadilika lini hiyo system let's rest our hopes to the New Chairperson
 
= Taarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…