Abdallah Mwaipaya ulichokifanya Redioni usikirudie tena Kitakugharimu Kiutendaji kwa Rais Samia

Samahani mkuu, huyo genta ndio mtu gani?

Maana humu JF kila mtu anamtaja yeye, huku genta kule genta.. kafanyani?

Comotag
Popoma fulani ana ID tano ila mwandiko uleule na hajawahi andika point😀😀
 
Hawa wateuliwa vijana hawana kitu kichwani,Elimu ndogo,uzoefu hakuna,Uongozi hawajuhi,hawana hata Mpango wa kazi huko walipoperekwa,Yani wapo hapo kama walinzi tu,kuamka,kula,kuendeshwa kwenye V8,hawana mchango wowote katika wilaya,wanakula mishahara ya Bure.
 
DC wa Maza...
 
Katendwa mno na Wanaume na sasa anawachukia japo anaendeleaje tu Kuwa nao kwani Kibaiolojia Nyege za Mwanadamu hazina Commando wala Adabu.
Kumbe, ila anaonekana mjuaji
 
Mimi sioni kama kuna ubaya wowote hapo. Umesema kipindi kilirushwa saa 3 usiku, ni wazi kuwa huo sio muda wa kuwa ofisini, kwa hiyo, anaweza akafanya jambo lolote la kijamii (social activities). Kama angefanya jambo hilo kipindi cha kazi, ungeweza kulaumu. Kumbuka nje ya muda wa kazi na yeye (Mwaipaya) anatakiwa kuwa sicial.
 
popoma kama popoma
 
saa 3
 
Alichukua nafas yako ya u DC sahiv unamsagia kunguni kwa staili hii ya kujidai mtz mnyonge[emoji16][emoji16]
 
Katendwa mno na Wanaume na sasa anawachukia japo anaendeleaje tu Kuwa nao kwani Kibaiolojia Nyege za Mwanadamu hazina Commando wala Adabu.
...kumbe mrembo Farhia katendwa mno na Wanaume?[emoji53][emoji53]
Hebu mwaga hapa mifano miwili mitatu ya kutendwa kwake Mkuu....!
 
We jamaa aisee, unaakili sana, sema tu kukuelewa lazima uwe na akili ya kiwendawazimu hivi! Mwenye kusikia na asikie, mwenye kuona na zone.
 
Ma DC ni cheo fulani cha HOVYOO...na hawana kazi..

Shughuli yao kuu ni kupokea viongozi....na ni masnichiiii. . Cheo cha hovyooo..
 
Unataka asahau alikotoka?
 
Samahani mkuu, huyo genta ndio mtu gani?

Maana humu JF kila mtu anamtaja yeye, huku genta kule genta.. kafanyani?

Comotag
Tafadhali wakikujibu nitagi na Mimi kwani natamani mno kujua huyo Jamaa ni nani kwakuwa naona anapapatikiwa mno na Members hapa kama vile labda anawakojolea vizuri hivyo wanamuonea Wivu na Kumgombania pia.

Cc: mdukuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…