Abdul ananufaika na nini kupigania Lissu alipwe, mpaka kumfuata Tegeta? Mtoto wa Rais anapigania pesa za mkosoaji mkuu wa mama yake?

RUSTEM PASHA

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2016
Posts
4,707
Reaction score
11,365
Narudia kuuliza mara Kwa mara, Abdul mpaka kufunga safari kwenda Tegeta kwa Lissu akitokea Ikulu akiambatana na jamaa yake Wenje. Lengo hasa la Abdul ni nini au atanufaika vipi kupigania kwa mama yake Lissu alipwe pesa zake.

Inawezekana Abdul ni mtu mwema sana kwa viongozi wa upinzani kuliko tunavyoaminishwa na wapinzani.

"Wenje pia anasema Lengo la Lisu kuwananga viongozi wa upinzani nikutaka kujionyeshe kua yeye ni msafi nchi hii kuliko watu wote. Kuliko mashekhe na Mapdri na wachungaji lakini bahati mbaya sema tu hana ushahidi wa uchafu wa Lissu".

Sasa mkuu Wenje lengo la Abdul ni nini kupigania pesa za Lissu?.
 
Hawa wahuni kina wenje wanajaribu kupindisha ukweli. wenje na abdul walikwenda kwa Lissu kwa lengo la kumnyamazisha kwa hongo.

Lissu asingeshtukia mtego ule, ndio ungekuwa mwisho wake kisiasa.

Napata hisia kuwa ni mtego ulioandaliwa na TISS kwa kushirikiana na maadui wa Lissu ndani ya chadema ili kurahisisha kuenguliwa Lissu kwenye uongozi kwa kashfa ya kuhongwa.
 
Huyo Abduli fedha anazitoa wapi?! Na hizo Piki Piki 18000 za Samia, Samia mshahara wake unajulikana hizo fedha kazitoa wapi?!
 
Huyo Abduli fedha anazitoa wapi?! Na hizo Piki Piki 18000 za Samia Samia mshahara wake unajulikana hizo fedha kazitoa wapi?!
Mshahara wa Rais unajulikana?

Hebu tuambie ni Shilingi ngap
 
Lakini
Hawa wahuni kina wenje wanajaribu kupindisha ukweli. wenje na abdul walikwenda kwa Lissu kwa lengo la kumnyamazisha kwa hongo.

Lissu asingeshtukia mtego ule, ndio ungekuwa mwisho wake kisiasa.

Napata hisia kuwa ni mtego ulioandaliwa na TISS kwa kushirikiana na maadui wa Lissu ndani ya chadema ili kurahisisha kuenguliwa Lissu kwenye uongozi kwa kashfa ya kuhongwa.
Lakini neno rushwa,au jambo rushwa mara nyingi anayeyetafuta haki haki yake ndiye hutoa rushwa,mtu kupata haki yake kwa kuinunua kwa fedha au kitu ama kitu kingine cha thamani,tuambiwe katika hayo malipo huyo dogo alitaka apewe ngapi au aliahidiwa kupewa ngapi?hapa hapana labda lingine.
 
H

Hazija lipiwa ata kodi izo
Practice what you preach, wao kila siku wanasema kulipa Kodi ni Uzalendo na mara nyingine hata huwa wanatumia State violence dhidi watu wa Upinzani kwa madai eti wanadaiwa kodi.
 
Mshahara wa Rais unajulikana?

Hebu tuambie ni Shilingi ngap
Screenshot_20241226-100851.jpg
 
Narudia kuuliza mara Kwa mara, Abdul mpaka kufunga safari kwenda Tegeta kwa Lissu akitokea Ikulu akiambatana na jamaa yake Wenje. Lengo hasa la Abdul ni nini au atanufaika vipi kupigania kwa mama yake Lissu alipwe pesa zake.

Inawezekana Abdul ni mtu mwema sana kwa viongozi wa upinzani kuliko tunavyoaminishwa na wapinzani.

"Wenje pia anasema Lengo la Lisu kuwananga viongozi wa upinzani nikutaka kujionyeshe kua yeye ni msafi nchi hii kuliko watu wote. Kuliko mashekhe na Mapdri na wachungaji lakini bahati mbaya sema tu hana ushahidi wa uchafu wa Lissu".

Sasa mkuu Wenje lengo la Abdul ni nini kupigania pesa za Lissu?.
mie pia sielewi, nadhani kama lengo ni hilo si huwaga wana takiwa kutumiwa watu wa chama!! navyo jua mie chama tawala ni taasisi kubwa hamna mtu aliye/anaye weza kuwa juu ya mipango ya hiko chama, sasa iweje huyo sijui abdu atumike?
 
Back
Top Bottom