RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Narudia kuuliza mara Kwa mara, Abdul mpaka kufunga safari kwenda Tegeta kwa Lissu akitokea Ikulu akiambatana na jamaa yake Wenje. Lengo hasa la Abdul ni nini au atanufaika vipi kupigania kwa mama yake Lissu alipwe pesa zake.
Inawezekana Abdul ni mtu mwema sana kwa viongozi wa upinzani kuliko tunavyoaminishwa na wapinzani.
"Wenje pia anasema Lengo la Lisu kuwananga viongozi wa upinzani nikutaka kujionyeshe kua yeye ni msafi nchi hii kuliko watu wote. Kuliko mashekhe na Mapdri na wachungaji lakini bahati mbaya sema tu hana ushahidi wa uchafu wa Lissu".
Sasa mkuu Wenje lengo la Abdul ni nini kupigania pesa za Lissu?.