RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Hakikana mimi naamini Abdul anahuruma sana, sema Lissu ni mzushi na muongo muongo haaminiki.Ni roho ya huruma imemsukuma kumfuata lisu
Hawa wahuni kina wenje wanajaribu kupindisha ukweli. wenje na abdul walikwenda kwa Lissu kwa lengo la kumnyamazisha kwa hongo."Wenje pia anasema Lengo la Lisu kuwananga viongozi wa upinzani nikutaka kujionyeshe kua yeye ni msafi nchi hii kuliko watu wote. Kuliko mashekhe na Mapdri na wachungaji lakini bahati mbaya sema tu hana ushahidi wa uchafu wa Lissu".
Sasa mkuu Wenje lengo la Abdul ni nini kupigania pesa za Lissu?.
Hakikana mimi naamini Abdul anahuruma sana, sema Lissu ni mzushi na muongo muongo haaminiki.
Mapembelo Laki si PesaNi roho ya huruma imemsukuma kumfuata lisu
Yeye biashara yake anadeal na wanasiasa tu.aanzishe mfuko wa kusaidia vijana mitaji kama ana huruma, au huruma yake imebase kwa wanasiasa tu, na maaskofu tu?
Mshahara wa Rais unajulikana?Huyo Abduli fedha anazitoa wapi?! Na hizo Piki Piki 18000 za Samia Samia mshahara wake unajulikana hizo fedha kazitoa wapi?!
Hapana haujalikani.Mshahara wa Rais unajulikana?
Hebu tuambie ni Shilingi ngap
Lakini neno rushwa,au jambo rushwa mara nyingi anayeyetafuta haki haki yake ndiye hutoa rushwa,mtu kupata haki yake kwa kuinunua kwa fedha au kitu ama kitu kingine cha thamani,tuambiwe katika hayo malipo huyo dogo alitaka apewe ngapi au aliahidiwa kupewa ngapi?hapa hapana labda lingine.Hawa wahuni kina wenje wanajaribu kupindisha ukweli. wenje na abdul walikwenda kwa Lissu kwa lengo la kumnyamazisha kwa hongo.
Lissu asingeshtukia mtego ule, ndio ungekuwa mwisho wake kisiasa.
Napata hisia kuwa ni mtego ulioandaliwa na TISS kwa kushirikiana na maadui wa Lissu ndani ya chadema ili kurahisisha kuenguliwa Lissu kwenye uongozi kwa kashfa ya kuhongwa.
Hazija lipiwa ata kodi izoHuyo Abduli fedha anazitoa wapi?! Na hizo Piki Piki 18000 za Samia Samia mshahara wake unajulikana hizo fedha kazitoa wapi?!
Practice what you preach, wao kila siku wanasema kulipa Kodi ni Uzalendo na mara nyingine hata huwa wanatumia State violence dhidi watu wa Upinzani kwa madai eti wanadaiwa kodi.H
Hazija lipiwa ata kodi izo
Mshahara wa Rais unajulikana?
Hebu tuambie ni Shilingi ngap
mie pia sielewi, nadhani kama lengo ni hilo si huwaga wana takiwa kutumiwa watu wa chama!! navyo jua mie chama tawala ni taasisi kubwa hamna mtu aliye/anaye weza kuwa juu ya mipango ya hiko chama, sasa iweje huyo sijui abdu atumike?Narudia kuuliza mara Kwa mara, Abdul mpaka kufunga safari kwenda Tegeta kwa Lissu akitokea Ikulu akiambatana na jamaa yake Wenje. Lengo hasa la Abdul ni nini au atanufaika vipi kupigania kwa mama yake Lissu alipwe pesa zake.
Inawezekana Abdul ni mtu mwema sana kwa viongozi wa upinzani kuliko tunavyoaminishwa na wapinzani.
"Wenje pia anasema Lengo la Lisu kuwananga viongozi wa upinzani nikutaka kujionyeshe kua yeye ni msafi nchi hii kuliko watu wote. Kuliko mashekhe na Mapdri na wachungaji lakini bahati mbaya sema tu hana ushahidi wa uchafu wa Lissu".
Sasa mkuu Wenje lengo la Abdul ni nini kupigania pesa za Lissu?.
Swali hili Wenje hawezi kulijibu mkuu. Msamehe bure.Sasa mkuu Wenje lengo la Abdul ni nini kupigania pesa za Lissu?.