Pre GE2025 Abduli has put a sword on a centre that united them, the centre no longer hold. Things fall apart

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
Hali ndani ya Chadema si shwari. Kama imefikia hatua kiongozi mwandamizi ndani ya CHADEMA bila aibu anampeleka Abduli kwa Lissu kumshawishi achukue rushwa. Tena anamwambia kuwa watu kibao ndani ya chama wamechukua na wewe chukua, hii ni hatari sana.

CCM wametumia technic ya kimafia sana, imewapa njaa makamanda, kisha inapenyeza "asali" kwa wachache. Basi makamanda mtifuano mtindo mmoja.

Wachache ambao ni waadilifu kama Lissu wanaanza kuonekana maadui maana wao wanamaanisha katika kuwakomboa watanzania dhidi ya uongozi mbovu wa CCM, kumbe wenzake wapo kimchongo zaidi ndani ya Chadema.

Halafu kuna watu wanasema eti Lissu anyamaze, akayaongelee "chumbani". Mnataka ubakaji wa haki uongelewe sirini?.

Msikilize Lissu hapa akieleza namna kiongozi mwandamizi ndani ya Chadema alivyotaka Lissu naye anunuliwe!.

Tena kumbe huko Chadema kuna Listi ya waliokula hela ya Abduli. Hatari sana hii!

Hali ndani ya Chadema si shwari. Kama imefikia hatua kiongozi mwandamizi ndani ya CHADEMA bila aibu anampeleka Abduli kwa Lissu kumshawishi achukue rushwa. Tena anamwamvia kuwa watu kibao ndani ya chama wamechukua na wewe chukua, hii ni hatari sana.

CCM wametumia technic ya kimafia sana, imewapa njaa makamanda, kisha inapenyeza "asali" kwa wachache. Basi makamanda mtifuano mtindo mmoja.

Wachache ambao ni waadilifu kama Lissu wanaanza kuonekana maadui maana wao wanamaanisha katika kuwakomboa watanzania dhidi ya uongozi mbovu wa CCM, kumbe wenzake wapo kimchongo zaidi ndani ya Chadema.

Halafu kuna watu wanasema eti Lissu anyamaze, akayaongelee "chumbani". Mnataka ubakaji wa haki uongelewe sirini?.

Msikilize Lissu hapa akieleza namna kiongozi mwandamizi ndani ya Chadema alivyotaka Lissu naye ale rushwa!

View attachment 3065586
Fake hiyo
 
Hali ndani ya Chadema si shwari. Kama imefikia hatua kiongozi mwandamizi ndani ya CHADEMA bila aibu anampeleka Abduli kwa Lissu kumshawishi achukue rushwa. Tena anamwamvia kuwa watu kibao ndani ya chama wamechukua na wewe chukua, hii ni hatari sana.

CCM wametumia technic ya kimafia sana, imewapa njaa makamanda, kisha inapenyeza "asali" kwa wachache. Basi makamanda mtifuano mtindo mmoja.

Wachache ambao ni waadilifu kama Lissu wanaanza kuonekana maadui maana wao wanamaanisha katika kuwakomboa watanzania dhidi ya uongozi mbovu wa CCM, kumbe wenzake wapo kimchongo zaidi ndani ya Chadema.

Halafu kuna watu wanasema eti Lissu anyamaze, akayaongelee "chumbani". Mnataka ubakaji wa haki uongelewe sirini?.

Msikilize Lissu hapa akieleza namna kiongozi mwandamizi ndani ya Chadema alivyotaka Lissu naye ale rushwa!.

Tena kumbe huko Chadema kuna Listi ya waliokula hela ya Abduli. Hatari sana hii!

View attachment 3065586
Inasikitisha sana
 
Lakini hiki chama kinajulikana kuwa "kimchongo" miaka yote; tofauti tu ni kwamba kuna wakati kilionyesha dalili za kuwa na uwezekano wa kukikabili CCM ambacho siyo cha "mcongo" pekee, bali wamekuwa ni wakoloni kabisa kwa nchi!

CHADEMA kimsingi haijawahi kujulikana kuwepo kusimamia maslahi ya wananchi kwa ujumla wake.

Wengi tumekuwa tukiwahimiza watusaidie tu kumwondoa huyu "mtekaji" aliye tutia ndani nchi nzima hata tusijue jinsi ya kujinasua toka kwake.
Kwa bahati mbaya iliyoje kwetu, CHADEMA na wao wameona ni bora wawe sehemu ya kuwakandamiza waTanzania, kwa kushirikiana na CCM ya Samia.
 
Ni vema sasa Lissu awataje wote waliochukua hela na waondoke Chadema waende huko CCM watuache na umasikini wetu tupambane vinginevyo ni kuwaachia chama chao. Mmoja aliyechukua hizo hela ni Wenje na ndiye aliyempeleka Abdul nyumbani kwa Lissu mwingine ni Peter Msigwa. Najua kwa vyovyote Lissu amerekodi mazungumzo yao ni wakati awalipue tu tujue moja.
 
Hali ndani ya Chadema si shwari. Kama imefikia hatua kiongozi mwandamizi ndani ya CHADEMA bila aibu anampeleka Abduli kwa Lissu kumshawishi achukue rushwa. Tena anamwamvia kuwa watu kibao ndani ya chama wamechukua na wewe chukua, hii ni hatari sana.

CCM wametumia technic ya kimafia sana, imewapa njaa makamanda, kisha inapenyeza "asali" kwa wachache. Basi makamanda mtifuano mtindo mmoja.

Wachache ambao ni waadilifu kama Lissu wanaanza kuonekana maadui maana wao wanamaanisha katika kuwakomboa watanzania dhidi ya uongozi mbovu wa CCM, kumbe wenzake wapo kimchongo zaidi ndani ya Chadema.

Halafu kuna watu wanasema eti Lissu anyamaze, akayaongelee "chumbani". Mnataka ubakaji wa haki uongelewe sirini?.

Msikilize Lissu hapa akieleza namna kiongozi mwandamizi ndani ya Chadema alivyotaka Lissu naye ale rushwa!.

Tena kumbe huko Chadema kuna Listi ya waliokula hela ya Abduli. Hatari sana hii!

View attachment 3065586
Makapi yatajitenga na mchele siku si nyingi zijazo, lakini CDM itabaki imara kuliko jana.
 
Lakini hiki chama kinajulikana kuwa "kimchongo" miaka yote; tofauti tu ni kwamba kuna wakati kilionyesha dalili za kuwa na uwezekano wa kukikabili CCM ambacho siyo cha "mcongo" pekee, bali wamekuwa ni wakoloni kabisa kwa nchi!

CHADEMA kimsingi haijawahi kujulikana kuwepo kusimamia maslahi ya wananchi kwa ujumla wake.

Wengi tumekuwa tukiwahimiza watusaidie tu kumwondoa huyu "mtekaji" aliye tutia ndani nchi nzima hata tusijue jinsi ya kujinasua toka kwake.
Kwa bahati mbaya iliyoje kwetu, CHADEMA na wao wameona ni bora wawe sehemu ya kuwakandamiza waTanzania, kwa kushirikiana na CCM ya Samia.
Acha uongo lini CHADEMA imeshirikiana na CCM kuwakandamiza wananchi?. Tupunguze kuongea uongo.
 
hii ni moja ya sababu iliyomkera Msigwa na kuamua kurudi zake CCM maana aligundua kumbe CDM ni goli hivyo ni vyema naye akalamba asali tu.

Humu watu wameshaanza kumyooshea kidole Msigwa kumbe sababu hizi anazozitoa Lissu ndio hizi hizi zilizomuondoa Msigwa CDM.
 
Back
Top Bottom