T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Option pekee ni Kikwete kumbeba Samia. Option ya Samia kwenda solo ni ngumu kwake, hana uwezo mkubwa kivile. Miaka yote yupoyupo tu. Atakuwa kama Joyce BandaKumuunga mkono inategemea kilichofanya wasiwe wamoja. Madaraka siyo mchezo na mchezo unaweza kubadilika muda wowote.
Itapendeza sanaWanaelekea kugawana fito
Wasibakize hata nyasi.Wanaelekea kugawana fito
Code hivi🤔🤔Haya mambo Yana uhusiano mkubwa na kifo cha mwenyekiti wa wadudu...
Na Bado. Mzimu wa Magufuli utawamaliza wote walioshangilia kifo chake. Muda utajibuView attachment 3056347
Abdulrahman Kinana
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amemwandikia barua ya kuomba kupumzika.
Katika majibu yake Mwenyekiti wa CCM amesema "Ni kweli nilipokuomba utusaidie kwa nafasi ya Makamu Mwenyekiti nilikuahidi utakaa muda mfupi kama ulivyoomba, na kwa kweli nilipenda uendelee kutusaidia lakini kwa kuwa umeomba sana na ahadi ni deni nalazimika kwa moyo mzito kuridhia kujiuzulu kwako".
Pia Mwenyekiti wa CCM amesisitiza kuwa Chama kitaendelea kutumia uzoefu na maarifa ya Ndugu Kinana kila vitakapohitajika.
Chama Cha Mapinduzi kinamshukuru Ndugu Abdulrahman Kinana kwa mchango wake mkubwa kwa Chama chetu.
PIA SOMA
- Matokeo CCM: Abdul Kinana Makamu Mwenyekiti Bara, Hussein Mwinyi Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti Taifa
Mwanzo wa mageuzi acha tupate uelekeo mpya wa taifa letu.Ya Moto Moto Hii Lazima Kuna Jambo
Kaenda Kuungana Na Vijana Wake Ma~Rope Na Nepi
CCM Inapasuka Vibaya Yaani Kama Mbarika Vile
Mimi ni zaidi yaoo. Tena naomba hiii isinipiteeeMakamu Mwenyekiti anatakiwa mtu anayekijua Chama kweli kweli kama Mkuchika au Lukuvi 😀😀
Ila maza acha akome aliona walivyokuwa wafitini enzi za mwendazake yeye kajifanya bibi hurumaYaan hipo hivi, huyu mzee yupo kwenye kundi la January Makamba kumfanyia figisu mama. Kwa mujibi wa taarifa ya kigogo, wajumbe wengine kwenye kundi hilo ambalo lilitaka Kipara awe makamu wa Rais mwaka, 2025 yupo, Adams Malima,Kinana .
Ilikuwa lazima mzee huyu ajiuzulu tu kwa kuwa amegundulika kwenye uhaini huo.Na amelazimishwa kujiuzulu kwa kuwa ni msaliti.
Kabisa wavurugane tumewachoka kazi ya kutafuna nchi tyuu, kutuletea maendeleo wananchi aahhh.!! 😹Wasibakize hata nyasi.
AmeenMwanzo wa mageuzi acha tupate uelekeo mpya wa taifa letu.
point...........sawasawa.....sahihi..Hata mimi. Mtu wa muhimu kwa Samia ni Kikwete, mkwe wake sio heavyweight wala sio smart. Samia hana team mpaka sasa amekumbatia team ya Kikwete ambayo ndio hii kaanza kuivuruga.
Adui muombee njaa. Natamani wafeli vibaya mno wavurugane
Wamesha maliza kazi yao.. alikuwa na maadui wengi sana, ila iendelee kubaki tetesi..Makonda yuko wapi?
Watu wamelipiza kisasi nini?
Ni kweli, Ridhiwani abwage manyanga mapema, vinginevyo watamsafirish kwenda peponi very soon kwa kulambishwawanamtaka Ridhiwan abwage manyanga haraka.
Who knows, usishangae Lukas Mwashambwa au FaizFoxy anauramba umakomo Mwenyekiti wa CCM, maana siku hizi UCHAWA unalipa sana.Nchimbi kazini.
Mzee wenu keshapigwa pingu tayari hamuwezi tena Mama Samia, njia nyeupe kwa Mama Samia 2025 hakika Mama kachagua fungu jema kuambatana na Paul C. Makonda.In msoga voice "labda mambo yakiaribika sana" naona mambo ndo hayo yameshaanza kuparanganyika