Pre GE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Magufuli alikuwa sahihi mambo mengi sana!
 
Nilistuka nikadhan ame nanii...!
 
RAIS SAMIA Asirudi nyuma, asilegeze kamba, Wala asitishike.

Najua Kinana kafanya hivi Kwa sababu ya Akina MAKAMBA na NAPE.

Lkn pia ni wazi KINANA, NAPE ,MAKAMBA wako kwenye ule mnyororo wa ndoto za MAKAMBA KUA RAIS.


Rais asitishike.


Inawezekana kabisa kabisa Taifa limepata HEAD OF SPY makini, mzalendo na mfia Nchi
 
Igweeeeeeeee.!!
Sema CCM hawaaminiki ukute wanatuzuga wananchi wale likija suala la maslahi ya chama wako tayari watoane kafara
 
Makanali wastaafu wamebakiza mtu mmoja tu kwenye ubavu wa mama lakini pia bado wanamshawishi au kwa lugha sahihi wanamtaka Ridhiwan abwage manyanga haraka.
Wastaafu wanataka wapigane kutokea nyuma kuelekea mbele kwa kutumia mbinu ya kijeshi inayoitwa blitzkrieg hapo 2025.
 
Maza akiwa sincrere tutamuunga mkono.

Ila kama kuna zile Sanaa.

We will NOT.
 
Unaonekana una uzoefu na hilo jambo la kujisaidia almaarufu kujinyea vinginevyo usingeandika kwa uhakika hivi
Huyo alikuwa chawa wa Makamba na nape. Anadhani kuna watu wana hati miliki ya kuwa ma Rais, mfumo wake wa akili unaamini Makamba na Nape ni 'King makers' kwamba bila hao huwezi kuwa Rais.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…