Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amemwandikia barua ya kuomba kupumzika.
Katika majibu yake Mwenyekiti wa CCM amesema "Ni kweli nilipokuomba utusaidie kwa nafasi ya Makamu Mwenyekiti nilikuahidi utakaa muda mfupi kama ulivyoomba, na kwa kweli nilipenda uendelee kutusaidia lakini kwa kuwa umeomba sana na ahadi ni deni nalazimika kwa moyo mzito kuridhia kujiuzulu kwako".
Pia Mwenyekiti wa CCM amesisitiza kuwa Chama kitaendelea kutumia uzoefu na maarifa ya Ndugu Kinana kila vitakapohitajika.
Chama Cha Mapinduzi kinamshukuru Ndugu Abdulrahman Kinana kwa mchango wake mkubwa kwa Chama chetu.

JACOB ZUMA NA MKUKI WA UMKHOTO WeSIZWE NDANI YA ANC Rais mstaafu Jacob Zuma wa South Africa aleta mtikisiko katika chama cha ANC baada ya kusema hataiunga mkono chama cha ANC bali atakiunga mkono chama kipya cha Umkhoto WeSizwe. Tamko hilo ni kuwaambia watu kuwa wale wote ambao wanaunga...
Makanali wastaafu wamebakiza mtu mmoja tu kwenye ubavu wa mama lakini pia bado wanamshawishi au kwa lugha sahihi wanamtaka Ridhiwan abwage manyanga haraka.
Wastaafu wanataka wapigane kutokea nyuma kuelekea mbele kwa kutumia mbinu ya kijeshi inayoitwa blitzkrieg hapo 2025.
Huyo alikuwa chawa wa Makamba na nape. Anadhani kuna watu wana hati miliki ya kuwa ma Rais, mfumo wake wa akili unaamini Makamba na Nape ni 'King makers' kwamba bila hao huwezi kuwa Rais.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amemwandikia barua ya kuomba kupumzika.
Katika majibu yake Mwenyekiti wa CCM amesema "Ni kweli nilipokuomba utusaidie kwa nafasi ya Makamu Mwenyekiti nilikuahidi utakaa muda mfupi kama ulivyoomba, na kwa kweli nilipenda uendelee kutusaidia lakini kwa kuwa umeomba sana na ahadi ni deni nalazimika kwa moyo mzito kuridhia kujiuzulu kwako".
Pia Mwenyekiti wa CCM amesisitiza kuwa Chama kitaendelea kutumia uzoefu na maarifa ya Ndugu Kinana kila vitakapohitajika.
Chama Cha Mapinduzi kinamshukuru Ndugu Abdulrahman Kinana kwa mchango wake mkubwa kwa Chama chetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.