Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana Gani wasikuwa watulivu? Yani litoto linasema eti huwa kwetu tunakula vya kuiba!!unawezaje kukaa nalo sebureni?Nakumbuka mwaka 2017 baada ya Nape vuvuzela bumunda kufukuzwa uwaziri zilianza tetesi kwamba Kinana amesusa kufanya kazi ya ukatibu mkuu. Na kweli baada ya hapo alikuwa haudhurii vikao vingi vya kamati kuu na halmashauri kuu kwa taarifa kwamba anamuuguza mtoto wake India au yeye mwenyewe kuugua,ziliendelea kuwa tetesi mpaka siku alipojuzulu rasmi.
Coincidentally? Baada ya vijana wake aliofanya nao kazi kwa karibu 2015 kung'olewa kwenye uwaziri chini ya wiki moja naye anajiuzulu.
Je,inavyodaiwa kwamba waliondolewa kwa sababu ya mipango na yeye alikuwa sehemu ya mipango?
Je ni kweli ameamua kustaafu na kwa nini sasa sio jana au kesho?
Je kasusa baada ya kuona vijana wake wametemwa?
Afadhali ..kilichobaki ni msiba ....wamfuate kipenzi cha WatzView attachment 3056347
Abdulrahman Kinana
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amemwandikia barua ya kuomba kupumzika.
Katika majibu yake Mwenyekiti wa CCM amesema "Ni kweli nilipokuomba utusaidie kwa nafasi ya Makamu Mwenyekiti nilikuahidi utakaa muda mfupi kama ulivyoomba, na kwa kweli nilipenda uendelee kutusaidia lakini kwa kuwa umeomba sana na ahadi ni deni nalazimika kwa moyo mzito kuridhia kujiuzulu kwako".
Pia Mwenyekiti wa CCM amesisitiza kuwa Chama kitaendelea kutumia uzoefu na maarifa ya Ndugu Kinana kila vitakapohitajika.
Chama Cha Mapinduzi kinamshukuru Ndugu Abdulrahman Kinana kwa mchango wake mkubwa kwa Chama chetu.
PIA SOMA
- Matokeo CCM: Abdul Kinana Makamu Mwenyekiti Bara, Hussein Mwinyi Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti Taifa
Unaonekana una uzoefu na hilo jambo la kujisaidia almaarufu kujinyea vinginevyo usingeandika kwa uhakika hiviNaomba nirudie,,,, Samia akitoboa 2025 nitajisaidia uwanja wa Mkapa
Kwani uelewi ndugu kinachoendelea?Naona wadau wa majukwaa yote wamehamia huku 😀😀😀😀
Swali ni kwanini wakati huu baada utumbuaji wa mawaziri marafiki ???
Ilikuwa lazima aondoka. No way!! Tulishasema siku nyingi sisi tuliosoma Cuba!!Yusuf Makamba
January Makamba
Nape Nnauye
Kinana Abdulrahman
Hawa wanajuana sana ni kundi moja kwenye kupeana chapuo za uongozi
Kama ni mpasuko umetokea CCM kwetu ni habari njema ila kama wamewekwa pembeni kwa kazi maalumu kuelekea uchaguzi kwisha habari yetu
Apelekwe na mahakamani piaView attachment 3056347
Abdulrahman Kinana
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amemwandikia barua ya kuomba kupumzika.
Katika majibu yake Mwenyekiti wa CCM amesema "Ni kweli nilipokuomba utusaidie kwa nafasi ya Makamu Mwenyekiti nilikuahidi utakaa muda mfupi kama ulivyoomba, na kwa kweli nilipenda uendelee kutusaidia lakini kwa kuwa umeomba sana na ahadi ni deni nalazimika kwa moyo mzito kuridhia kujiuzulu kwako".
Pia Mwenyekiti wa CCM amesisitiza kuwa Chama kitaendelea kutumia uzoefu na maarifa ya Ndugu Kinana kila vitakapohitajika.
Chama Cha Mapinduzi kinamshukuru Ndugu Abdulrahman Kinana kwa mchango wake mkubwa kwa Chama chetu.
PIA SOMA
- Matokeo CCM: Abdul Kinana Makamu Mwenyekiti Bara, Hussein Mwinyi Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti Taifa
Watu fulani wakikaa tu nje ya mfumo, basi ni lazima kutakuwa tena na "one term president".View attachment 3056347
Abdulrahman Kinana
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amemwandikia barua ya kuomba kupumzika.
Katika majibu yake Mwenyekiti wa CCM amesema "Ni kweli nilipokuomba utusaidie kwa nafasi ya Makamu Mwenyekiti nilikuahidi utakaa muda mfupi kama ulivyoomba, na kwa kweli nilipenda uendelee kutusaidia lakini kwa kuwa umeomba sana na ahadi ni deni nalazimika kwa moyo mzito kuridhia kujiuzulu kwako".
Pia Mwenyekiti wa CCM amesisitiza kuwa Chama kitaendelea kutumia uzoefu na maarifa ya Ndugu Kinana kila vitakapohitajika.
Chama Cha Mapinduzi kinamshukuru Ndugu Abdulrahman Kinana kwa mchango wake mkubwa kwa Chama chetu.
PIA SOMA
- Matokeo CCM: Abdul Kinana Makamu Mwenyekiti Bara, Hussein Mwinyi Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti Taifa
B chura kazi anayoHilo zee linaenda kujipanga na safu yake ya kina mwanzo wa mwaka.!!
Mbona patachimbika shosti.!!
Brii anasemaje? 😹
CCM ni kusanyiko la shetaniIn msoga voice "labda mambo yakiaribika sana" naona mambo ndo hayo yameshaanza kuparanganyika
Mi napenda wanavyovurugana yani roho kwatu 😹😹😹Hawa ndo michwa mikuu ya nchi hii, brii atakuwa anamalizia kubebika ngoja tumsubiri
CCM imeoza ni kusanyiko la shetaniSwaafi kabisa, kumbe ilikuwa System (Mfumo) 🤣
Mkubwa na Wanawe
Watamtoa damu safari hii 😹😹B chura kazi anayo
Ni kampeni au tu ni mawazo yako huru?Apewe Nape au January