mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Hasa mtu akisema.Kwa maana hiyo unamaanisha kila jambo la uongo lina kinyume chake ambacho ni cha ukweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasa mtu akisema.Kwa maana hiyo unamaanisha kila jambo la uongo lina kinyume chake ambacho ni cha ukweli?
Mimi nimesema kwamba stori za Cain na Abel ni za kutunga, ndio chanzo cha haya malumbano.Siamini katika CREATIONISM THEOTY, bali evolution kwa kiasi flani inanishawishi.Sasa wewe wataka nini?Hasa mtu akisema.
Mbona hawa alihesabiwa? Au hakuwa mwanamkeNilisikia walizaa mapacha wa kike na kiume kwa hiyo wakaoana kwa kubadilishana yaani mfano amuoe pacha wa abeli na ukiziangatia zamani hawakuhesabu wanawake. Mi mwenyewe sijui ila nimejibu kutokana na kusoma huhkuhuku JF.
nakuja[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Kwanini sasa hivi hapana
Nimesoma mjadala wa hoja yako unavyoendelea, nimebaki na mshangao na kujiuliza, hivi swali ni la kidini, kisayansi au kihistoria!Binadamu wa kwanza kuumbwa Na Mungu ni Adam Na Hawa.Watoto waliowazaa ni Abel Na Kaini.Abeli Na Kaini walioa je Wake zao ni kizazi cha nani?
Binadamu wa kwanza kuumbwa Na Mungu ni Adam Na Hawa.Watoto waliowazaa ni Abel Na Kaini.Abeli Na Kaini walioa je Wake zao ni kizazi cha nani?
Binadamu wa kwanza kuumbwa Na Mungu ni Adam Na Hawa.Watoto waliowazaa ni Abel Na Kaini.Abeli Na Kaini walioa je Wake zao ni kizazi cha nani?
Hiyo Qur'an yako taja aya inayoleta majibu ya hiki alicholeta mtoa kadaSomeni Quran mtapata majibu ya maswali yenu
Pole sana uwezo wako wa kufiri ndio umefika mwisho,swali la mtoa mada majibu yake yapo kwenye hizo aya mbili tu.Hizo aya mbili zina majibu ya maswali zaidi ya milioni mbiliHiyo Qur'an yako taja aya inayoleta majibu ya hiki alicholeta mtoa kada
Usilete ujuha mwingine hapa.
Tena ukiweza kopi humu hiyo aya
Dogo mi nakushauri ukisoma majibu yangu mara moja kama hujaelewa acha usilazimishe kuelewa utazeeka kabla ya umriHiyo Qur'an yako taja aya inayoleta majibu ya hiki alicholeta mtoa kada
Usilete ujuha mwingine hapa.
Tena ukiweza kopi humu hiyo aya
Adam ( mean man) it represents creation of male sex and ( mother of all) wakimanisha kila mtu ata zaliwa na mwanamke basi.Binadamu wa kwanza kuumbwa Na Mungu ni Adam Na Hawa.Watoto waliowazaa ni Abel Na Kaini.Abeli Na Kaini walioa je Wake zao ni kizazi cha nani?
Binadamu wa kwanza kuumbwa Na Mungu ni Adam Na Hawa.Watoto waliowazaa ni Abel Na Kaini.Abeli Na Kaini walioa je Wake zao ni kizazi cha nani?
Hakuoa sababu aliuawa na nduguye KainiAbel nadhani hakuoa!!
Ila hili swali najiuliza mara nyingi sana na hata kuuliza watu wengine ikowamo viongozi wa dini!
Kaini alioa dada yake na kujitenga na familia ya Adam kwenda nodi(nchi ya kutangatanga). kumbuka kipindi hicho mwanamke alikuwa hahesabiki na ukiona ametajwa alikuwa kwa tukio maalumu. Mchungaji au padri aliyesoma theology/divinity hawezi shindwa kukuelezea vyema. Tafuta kitabu cha wazee na manabii cha wasabato. Kumbuka kitabu cha mwanzo kimebeba matukio ya zaidi ya milenia moja hivyo yote hayakuandikwa na Musa kwa kitabu hicho. Pia pitia na quran japo nayo imepesti toka kwenye biblia na mgogoro wa Kaini na Abeli uko tofauti kwa vitabu vyote viwili (yaani biblia na quran).
Hao wana wa Mungu bila shaka ni kaka zake Yesu[emoji12]Mwanzo 6
1 Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao,
2 wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wo wote waliowachagua.
Vv