Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Tatizo husafiri.Hiii chai boss
Tatizo husafiri.Hiii chai boss
Elimu haina mwisho. Kwapost yakohii lazima tumepata kitu sisi walafisikutaka kureply lakini nimeshindwa kuvumilia. ukidhania yeye anakula na wewe ndo ule huo ni ujinga. wao wanaanza kwa kumeza disinfectant kwa hiyo hata akila hapati madhala. Kuna jamaa aliibiwa poikipiki yangu . jamaa alipuliza kemikali chumbani akaingia na yule dereva boda boda amlipe akamwambia kaa kidogo kuna kitu nafanya hapa twende sehemu nyingine dereva akalala usingizi yeye akatoka akachukua pikipiki kamuacha guest house jamaa anaamshwa na mhudumu asubuhi anataka malipo ya chumba
Haaa haaaa haaaa labda wanajuanaHuu ulaji ulaji wa ovyo na kupewa vitu na mtu usiyemjua siyo mzuri hata kidogo.
Mwaka juzi nilikuwa natoka songea naja dar..gari niliyopanda iliyokuwa inapitia mtwara..gari haikujaa Sana ilikuwa inachukua na abiria wa njiani.
Tukafika tunduru Kuna binti alipanda kwa muonekano tu hakuonyesha kuwa mwenyeji wa dar..alivyopanda akakaa kwenye siti ambayo kulikuwa na mwanaume wa makamo.
Yule mwanaume alikuwa na biscut akampa yule dada..kila atakachonunua anampa yule dada. Kilichonishangaza yule binti hakuwa mtu wa kukataa ..nikawa najiuliza anajiamini vipi yule kaka Kama ni mtu mwenye nia mbaya je!..
Nilichoka baada ya kuona yule kaka anampapasa yule dada Mara amminye titi kwa kuibia..Mara amlalie begani.
Sikujua kilichozidi kuendelea huko mbeleni maana Mimi sikufika hadi ubungo na sidhani Kama yule binti alifika alipokuwa anaelekea.
Mbaya zaidi ni watumishi, daah...!Kila wakati wanapewa tahadhari kupokea kitu cha kula ama kutafuna kwa usiyemjua kwenye vyombo vya usafiri
Sasa huu tuite uroho ama ubakhiri wa kuacha kununua chako ukala au ukatafuna..Poleni View attachment 1274465View attachment 1274467
Wajuane wapi ..hawajuani maana nilikuwa namsikia yule binti anampigia simu dada ake kumpa taarifa ya kila mkoa gari inapaki..walijuana kwenye gari..Haaa haaaa haaaa labda wanajuana
Kabisa, nami pia nina kasumba kama hiyo, ku share chakula au kinywaji na mtu usiyemfahamu sio vyema sana.Kati ya sehemu ambazo uwa nashindwa kuonyesha uchangamfu kwa asilimia mia moja ni kwenye usafiri wa bus. Uwa sipendi kujenga mazoea na abiria mwenzangu lakini pia uwa najitahidi asinichukue kufikia kiwango cha kushindwa kunisaidia ikitokea pamekuwa na tatizo lolote safarini. Ikitokea ninataka kula au kunywa chochote simkaribishi ili na yeye asione sababu ya kunikaribisha chakula au kinywaji chake.