Abiria wanusurika kifo baada ya kulishwa biskuti zenye dawa za kulevya

Abiria wanusurika kifo baada ya kulishwa biskuti zenye dawa za kulevya

Write your reply...dah jamaa wamechoreshwa kweli hadi kwenye media wamewaonyesha wametegewa biskut wamejaa
 
Hivi unapewa kitu kwenye basi na wewe unakula tu
Alafu Wala sio kwamba Wana njaa hao noo.... Kutokana na wanakazi ataa sio njaa .... Any way nawatakia quick recovery
 
Kuna tabia iko common sana. Mko ktk bus mnapewa soda maji biscut nk then wewe na akili yako mbovu unaiweka ktk zile vishikio vya nyuma ya siti ya abiria wa mbele yako eti utakula baadae. Unajiamini nini kuacha maji soda au biscut ukibadilishiwa utajua wewe. Ni bora umwambie mhudumu nitachukua baadae au ukaificha ktk begi lako sio kuyaacha tu kiholela.
Utakuja kujuta mjini humu kila mtu ana akili zake n harakati zake.
 
Umenikumbusha kitu mkuu

Barikiwa
 
Huwa tunaamini kuwa watoa elimu ndiyo kioo cha jamii, siku zinavyokwenda mambo yanakuwa kinyume chake, suala la kuwa makini na vyakula kwenye mabasi linazungumzwa sana kwenye vyombo mbali mbali vya usafiri for decades now.
Unaweza kukuta elimu anayoizingatia ni ujamaa!!!
 
Duuh, kuna kaundugu flani hivi hutokea kwenye Bus mnajikuta mnabadilishana vitu tu,kumbe kuna wenye nia ovu aisee,tuwe makini[emoji30]
Mimi hata unipe nini, sili. Unless kama tunatumia wote na lazima kiwe kitu cha maana. (Mfano wale wa nyama choma) ukinikaribisha nakuangalia kwanza unakula weeeeee ukitikia ¾ ndio naanza kula kidogokidogo, na hapo ujue njaa imenikaba kwelikweli
 
Alafu kwenye hiz bus kuna seat ni VIP hadi nauli ni TOFAUTI TOFAUTI
 
Back
Top Bottom