Abiria wanusurika kifo baada ya kulishwa biskuti zenye dawa za kulevya

Abiria wanusurika kifo baada ya kulishwa biskuti zenye dawa za kulevya

Polisi Mkoani Lindi wamewakamata Vijana watatu wanaodaiwa kuwapa Biskuti zinazoaminika kuwa na Dawa za kulevya abiria wawili waliosafiri nao kwenye basi la Buti la Zungu DSM- Mtwara na kuwaibia “Tumewakuta Gesti na vitu walivyoiba, waliwavua mpaka vitatu” Millard Ayo millardayo on Twitter
 
Kuna jamaa yangu alipewa juice ya kopo tena sealed, maana alifungua mwenyewe kwa madai yake, akanipigia simu akiwa magomeni kwenye daladala la kkoo ubungo.

"nimekunywa juice lkn sielewi elewi" nikamuuliza uko wapi? Hakujibu na baadae simu haikupatikana hadi nilipopata taarifa yupo hospitali amelazwa hajitambui.
 
Kabisaa, mtu hana cha kuzungumza ila atatafuta tu small talks ili mradi aanzishe mazungumzo. Huwa napata shida sanaa nikisafiri bila earphones.
Wewe kama mie
Huwa siachi earphones,kuna watu wanapenda kuanzisha unnecessary convos katika safari...huwa najiwekea earphones tu
 
Kati ya sehemu ambazo uwa nashindwa kuonyesha uchangamfu kwa asilimia mia moja ni kwenye usafiri wa bus. Uwa sipendi kujenga mazoea na abiria mwenzangu lakini pia uwa najitahidi asinichukue kufikia kiwango cha kushindwa kunisaidia ikitokea pamekuwa na tatizo lolote safarini. Ikitokea ninataka kula au kunywa chochote simkaribishi ili na yeye asione sababu ya kunikaribisha chakula au kinywaji chake.
 
Wawe wanaweka seat moja moja na sio mbili mbili zilizobanana na pia kama seat ni mbili mbili wawe wanatupanga me na ke pamoja sio kutuweka midume mizima miwili pamoja tunatazamana midevu tu
 
Back
Top Bottom