Abiria wanusurika kifo baada ya kulishwa biskuti zenye dawa za kulevya

Abiria wanusurika kifo baada ya kulishwa biskuti zenye dawa za kulevya

Kuna jamaa yangu alipanda mawasiliano buguruni eti kakaa na mtu mwenyewe anasema kavaa kiheshima akaanzisha story akampa biscuit moja tu akala hehhe alipiga simu anasikia kizunguzungu tulimkuta hajitambui kaka hospital siku nzima ndo kaamka, kabaki anasema eti jamaa kanichukuliaje mpaka kanilewesha [emoji23][emoji23].
Ila mimi sijui nipoje asee huwa sitaki mazoea kabisa kwenye magari kama sikujui sina time na wewe hata awe mdada mrembo vipi sinaga shobo na mtu ni mimi na mziki safari nzima.
 
Wangekufa tu maana naona walikaa na vibinti vizuri wakawaza urafiki ili wakawegegede sasa walikuwa wanagegedwa wao
 
Msipende kula kula ovyo muwapo safarini, dar to lindi umeshindwa kukaza mpaka umeamua ule?? Wakati mimi natoboa kilomita 800+ bila kugusa hata maji
 
Nmewahi panda bus wale wambulu sjui ni masai wakapandia njiani ebwana weeeh gari zima lilioza nafuu ingekua samli wanazopaka ila ni harufu yakuoza wale sjui hawajisafishagi
Jamaa ni wachafu sana kwakweli,kuna siku tulipanda gari kumbe wamebeba ngozi ya ng'ombe ambayo haijakauka kwenye kiroba,hiyo harufu yake acha kabisa,ikibidi upigwe msako ndani ya basi,kiroba kikatupwa tukapata nafuu.😂😂
 
Jamaa ni wachafu sana kwakweli,kuna siku tulipanda gari kumbe wamebeba ngozi ya ng'ombe ambayo haijakauka kwenye kiroba,hiyo harufu yake acha kabisa,ikibidi upigwe msako ndani ya basi,kiroba kikatupwa tukapata nafuu.[emoji23][emoji23]
Wale hawafai na wanahasira mungu wangu usiwasemeshe unaweza ambulia kipigo
 
Jamaa ni wachafu sana kwakweli,kuna siku tulipanda gari kumbe wamebeba ngozi ya ng'ombe ambayo haijakauka kwenye kiroba,hiyo harufu yake acha kabisa,ikibidi upigwe msako ndani ya basi,kiroba kikatupwa tukapata nafuu.[emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji2] nacheka kama mazuri!! Hawakupandisha mori kweli? Maana masai hasira zipo jirani! [emoji847][emoji24]
 
Hiyo tabia iko njia ya Dar-Arusha. Mkifika maeneo ya Korogwe mnapewa machungwa basi zima ili uonje kisha ukiyapenda ununue.

Mimi huwa nawaangalia nasema hiiiiiiiiiiii.
Unachukua bure halafu hununui
 
Basi lenyewe linaitwa2 Buti la ZUNGU,Makubwa!
 
Kuna jamaa yangu alikuwa anasafiri kutoka Dar-Mbeya 2009 kama kawaida ya wabongo ujirani mwema akapewa biskuti aisee jamaa anasema aliharisha mwanzo mwisho. Kilichofata hapo ni madonda ya tumbo baadae jamaa akawa chizi kabisa na mpaka sasa amekuwa mtu wa clinic kila mwezi.

Mshauri akaombewe.
 
Natoka Tanga naludi Dar nimenunua biskuti namkaribisha mdada jirani niliekaa nae kafakamia mwanzo mpaka mwisho mpaka mimi mwenyewe nkaogopa...nasema huyu dada kaniamini nini aisee!!!
 
Back
Top Bottom