Abiria wanusurika kifo baada ya kulishwa biskuti zenye dawa za kulevya

Elimu haina mwisho. Kwapost yakohii lazima tumepata kitu sisi walafi
 
Haaa haaaa haaaa labda wanajuana
 
Haaa haaaa haaaa labda wanajuana
Wajuane wapi ..hawajuani maana nilikuwa namsikia yule binti anampigia simu dada ake kumpa taarifa ya kila mkoa gari inapaki..walijuana kwenye gari..
 
Kabisa, nami pia nina kasumba kama hiyo, ku share chakula au kinywaji na mtu usiyemfahamu sio vyema sana.
 
Sio kila kitu cha kukataa kwa kuogopa dawa za kulevya. Ukipewa namba ya simu usikatae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…