Absalom Kibanda awakosoa vikali CHADEMA, asema "Ukishakula nyama ya mtu huachi", Lema amjibu

Yaani mwandishi wa habari ana support kugushi nyaraka kubwa kama za ubunge. Tanzania tuna kazi hawa eti ndiyo wadai haki wetu !🤔
achilia mbali kugushi, mfungwa anatoka gelezani saa tatu usiku anasafilishwa toka Singida hadi Dodoma kwa msafara wa police na watu wa usalama afu kesho yake asubuhi anaapa kuwa mbunge.

Huu si ni zaidi ya uhuni, na hawa wanaojiita waandishi nguli wanakenua tu meno as if this is normal thing.

cc Paskali.
 
Yaani mwandishi wa habari ana support kugushi nyaraka kubwa kama za ubunge. Tanzania tuna kazi hawa eti ndiyo wadai haki wetu ![emoji848]
Mbona nyie mnasupport waliogushi vyeti kurudishwa kazini?
 
Ni huyu huyu Kibanda ambaye Maza kasema akishiwa anampigia simu Mama kuomba hela..... Au ni Kibanda mwingine?
 
Hata huyo Lema ipo siku! ipo siku! ipo siku! Hataamini kama ni yeye anashughulikiwa na Chadema! Tunza hii comment!
Ni chama gani ambacho hakishughulikii watovu wa nidhamu ... au wasiyowezana nao!?

Ukienda CCM list ndiyo ndefu zaidi Kuanzia akina Shibuda, Sofia Simba mpaka Membe wa juzi juzi.... CUF mpaka Maalim mwenyewe walimpitia. ACT waanzilishi wa chama wako wapi .... NCCR ambao walimshughulikia paka Mrema na team yake ....!!
 
Yaani mwandishi wa habari ana support kugushi nyaraka kubwa kama za ubunge. Tanzania tuna kazi hawa eti ndiyo wadai haki wetu !🤔
Nani kafoji?
Ushahidi wa kufoji uko wapi?
What if Mnyika alizisaini kweli hizo nyaraka?
 
Huyu akili zimepungua au anajitoa ufahamu. Kwani CCM haijawahi kufukuza wanachama? Twakataka
 
Una ushahidi kuwa walighushi nyaraka? Mbona hawakuwashitaki? Mnapelekwa kama upepo na wajanja pale CDM

FIKIRIENI NJE YA BOKSI
Na wewe fikiria ndani ya BOX mahabusu kutolewa chapuchapu,Kwamba chadema walikuwa na nguvu Kumzidi aliyekuwa kila kitu.Tusiegemee kwenye propaganda.Tuchimbe zaidi
 

Mayalla kwetu ni NJAA - JPM

Tatizo NJAA - Hashim Rungwe
 
Hata huyo Lema ipo siku! ipo siku! ipo siku! Hataamini kama ni yeye anashughulikiwa na Chadema! Tunza hii comment!
Siyo Lema tu, mwanachama yeyote anayekwenda nje ya utaratibu wa chama lazima ashughulikiwe. Katiba haikutungwa iwe pambo.
Nani alitegemea CCM wangefukuza Sophia Simba? Membe? Na wengineo?
Tofauti iliyopo Kati ya CCM na Chadema ni namna anayepata adhabu anavyoreact. Mwanachadema akifanya makosa CCM wanampampu a react against viongozi Kuwa anaonewa. Propaganda zinashika kasi na yanakuwa mapambano. CCM mtu akifukuzwa anajitafakari, baadaye a naomba msamaha
 
Yaani mwandishi wa habari ana support kugushi nyaraka kubwa kama za ubunge. Tanzania tuna kazi hawa eti ndiyo wadai haki wetu ![emoji848]
Kama Spika ambae ni mwanasheria anafanya maamuzi ya klabuni itakuwa huyu msaka tinge?
Utakuta kaagizwa aandike afuate bahasha Lumumba. Yaani hakuna wa kuamini kwenye hili jambo. Watu wamegushi mwandishi anae itwa mkongwe anaidhinisha jinai?
 
Wachaga wanaparuana kwenye chama lao.
 
So these lunatics are defending impunity? Disgusting!! AND what is the price tag for these subhumans-- disgusting!!!
I m comparing Kenya media (the strongest media in Africa) and these paparazzi. Kenya's Media know their missions and visions. They have already fought and won the "prayer predators" The likes of Mwamposa, Geodavie, Gwajiboys, etc who are still siphoning the meager bread of the poor Tanzanians. Tanzania tumbo media lunatics have no vision or mission other than playing prostitution to the politicians.
See this trend:
Police, Judiciary and CCM party and parliament are one team getting promoted by their prostitutes- Media
Serious opposition parties they are on their own with common wananchi.
WHAT DO WE DO?
 
Yaani mwandishi wa habari ana support kugushi nyaraka kubwa kama za ubunge. Tanzania tuna kazi hawa eti ndiyo wadai haki wetu !🤔
Anafuta kuteuliwa kama wenzie wa tasnia ya habari.
Humwoni hata yule mwandishi nguli anaedai alisoma na kufaulu vizuri sana somo la sheria, nae anavyohanja hanja
 
Fedha hununua wapumbavu!
'Fedha haramu' huondoa akili na kujaa ujinga!
Fedha zimemwondolea utu huyu mtu na amebaki kuwa kituko tumsamehe!
Heri kufa ukiwa umesimama kuliko kuishi ukiwa umepiga magoti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…