Absalom Kibanda awakosoa vikali CHADEMA, asema "Ukishakula nyama ya mtu huachi", Lema amjibu

Kwa nini wamekimbilia kuwavua uwanachama wakati njia ya mkato ipo?
Ni adhabu ya usaliti kwa wasaliti.
Maadamu swala hili sasa limeenda mahakamani, nategemewa pia kuwaw ashirika wao nao karibu wataanikwa. Hukumu yao yaja.
 
Kwa vile hajasema yanayokupendeza?

Alafu kila siku unakata viuno humu eti jiwe muuaji?

Kwani hicho alichosema ndio kinga ya kuwa dhalimu hakuwa muuaji?
 
Halima usikubali kuchomoka CDM kirahis toka na kiongozi yeyote yule
 
Kibanda anaomba hela kwa Maza; aiseeeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Waandishi wa Habari wa Tanzania ni OMBAOMBA ndo maana wako biased hawaheshimu taaluma yao
Kama Chadema na mwenyeki wao wako bize kupita madukani kuomba omba na tunachukulia poa, tatizo liko wapi kwa waandishi wa habari ambao hata ruzuku hapati kama ilivyo wazee wa press.
 
Nimecheka, unaambiwa fomu zinatakiwa kujazwa na katibu mkuu, hadi leo ziko ofisini hazijajazwa. Ww unasema hadi upate udhibitisho wa forgery!
Uelewa wako ni mdogo sana! Unafikiri forgery inathibitishwaje mkuu?
 
Kama idadi ya form toka Tume zipo zote kwa katibu mkuu wa chama hizo zilizorudishwa zilitoka wapi?
Kwa hiyo kwakuwa fomu zipo kwa Katibu Mkuu wa Chadema then forgery hapo imethibitishwa??
 
Yaani mwandishi wa habari ana support kugushi nyaraka kubwa kama za ubunge. Tanzania tuna kazi hawa eti ndiyo wadai haki wetu !πŸ€”
Kugushi huko unakujua ww,kama ww ni mbowe sema ukweli kama waligushi au uliwasinia,ila kama ni mnyika au heche au lema....Nenda kamuulizeni mbowe baraka za kwenda Bungeni wale wanawake 18 zilitoka wapi,karatasi ya uteuzi ilisainiwa na Nani na muhuli wa pale ni wa Chama gani,na Mdee kwa nn asaliti Chama na kwenda Bungeni kama ni kweli wamegushi nyaraka?
 
Hii ni awamu ya kumnunua kila mwenye jukwaa. Tofauti na kipindi kilichopita afisa ugavi safari hii hatoki chama tawala bali ndani ya vyombo. Kama inavyofahamika, vyombo ndivyo vilivyozalisha wale wasiojulikana waliotumia maguvu mengi sana na akili kidgo sana na kupelekea utekekaji, upotezaji watu na mauaji ya raia wema ikiwa ni pamoja na kesi ya hovyo ya ugaidi. Katika mazingira kama haya ambapo watu wa hovyo wasiokuwa na dhamana yoyote ya kiasiasa wala uelewa wowote kuhusu nini maana ya uongozi wa kisiasa wamepewa uamuzi wa kufanya lolote kulinda utawala wa uliopo, basi tutarajie vituko vingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…