William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Hapa unajichanganya kwa makusudi au kwakutokujuwa, Tunafahamu kwamba Tanzania Daima ni Gazeti huru ila tunachokipinga ni Absalom Kibanda kutumika, note it.Let us not miss the point here. Tanzania Daima si gazeti la chama chochote linasimama kama gazeti huru lenye utofauti na magazeti kama ya Uhuru na Mzalendo. Pamoja na kuwa Mbowe ni owner wa Free Media bado hana ubavu wa kuingilia Bodi ya Uhariri ya gazeti. Kitaaluma Absalom Kibanda ndiye final katika gazeti ndiyo maana Mbowe hakushitakiwa kwenye kesi ya 'uchochezi' inayowakabili Samson Mwigamba, Kibanda na Theofil Makunga.
Professionally, chombo cha habari na waandishi kwa ujumla wanaongozwa na vitu kama Truth, Fairness na Balance.Kwa kuwa gazeti la Tanzania Daima linaongozwa na misingi hiyo sidhani kama ni tatizo Front page yake kubeba picha za mikutano ya CCM ndiyo maana hata wakati wa kampeni za 2010 tuliliona hili unless kama Tanz.Daima ni gazeti la chama.
- Absalom Kibanda, my good and close friend, ni wa kumsamehe cause yeye anaajiriwa na Gazeti la Mbowe, Tanzania Daima ambalo mission yake inafahamika ya kuitukana CCM kila kukicha so is wafanyakazi wote wa Mbowe wanajulikana kuwa moja ya masharti ya kulipwa ujira wao ni kuitukana CCM at any cost, sasa ningeshangaaa sana asingemuogopa KAtibu Mkuu Mpya wa timu ya ushindi, hasa baada ya KAtibu asiyemuogopa kuongoza Chadema kwenye kushindwa Udiwani!!
- Absalom ni wakati mufaka sasa kutangaza conflict of interest, maana huwezi kuajiriwa na Mbowe halafu ukawa objective inapokuja ishus za CCM!!
Le Mutuz!!
Nadhani wengi hamumjui Kibanda, mimi hiyo Makala niliona online nilipoanza kuisoma wala sikupoteza muda wangu kuendelea kuisoma maana ni ushuzi mtupu.
Ni kweli Kibanda anamuogopa Kinana kwa sababu Kibanda ni kibaraka wa Lowasa na uwepo wa Kinana kama katibu Mkuu wa CCM si habari njema kwa kina Kibanda & co, huyu ni mtu wa ovyo sana.
Namshangaa sana Freeman Mbowe kuendelea kumvumilia Mhariri mpumbavu wa namna na kusababi Gazeti la Tanzania Daima kushuka mvuto na kupitwa na Gazeti la Mwananchi wakati mwanzo Tanzania Daima ndio lilikuwa linaongoza. Kama kuna mtu ambaye yupo karibu na Mbowe na anapenda Tanzania Daima lifanye vizuri basi huyu Kibanda afutwe kazi mara moja na nafasi yake apewe Ansbert Ngurumo.
Mkuu@W.J. Malecela,
..mkuu acha hizo.
..mbona Mbowe juzi hapa kamsifia JK wakati alipotembelea jimboni kwake??
..unajua CCM haijapata kuteua Katibu Mkuu wenye shutuma za ufisadi kama huyu Abdulrahman Kinana.
..angalia makatibu wakuu wote wa CCM kuanzia Pius Msekwa, Daudi Mwakawago, Rashidi Kawawa, Horace Kolimba, Philip Mangula, na Mukama. wote hao ni watu ambao waliteuliwa wakiwa na sifa za uadilifu, lakini siyo huyu Kinana "mr.loliondo."
Mkuu No Research no right to speak, humjui Kibanda ni vyema ukawa msomaji tu hapa, umeshasema hujawahi kusoma makala zake sasa unapata wapi uhalali wa kuchangia haya tunayomshutumu?Mkuu Matola
Katika moja ya sifa ambazo mwandishi wa habari anatakiwa kuwa nazo ni uhuru wa kuandika; Kibanda sijasoma makala zake ila haandiki habari kwasababu ya kumfurahisha Mbowe; anaandika kuelemisha jamii ya watanzania; tatizo lenu makamanda mnataka habari za kusifiwa Dr. Slaa hata kama habari zenyewe hazina mshiko. wakuu jaribuni kuelemika! sasa Ansbert Ngurumo unayemtaka ndiye unayemuona kibaraka mzuri au ana uwezo mkubwa wa kuandika habari unazota kuzisikia?
Chama
Gongo la mboto DSM
- Absalom Kibanda, my good and close friend, ni wa kumsamehe cause yeye anaajiriwa na Gazeti la Mbowe, Tanzania Daima ambalo mission yake inafahamika ya kuitukana CCM kila kukicha so is wafanyakazi wote wa Mbowe wanajulikana kuwa moja ya masharti ya kulipwa ujira wao ni kuitukana CCM at any cost, sasa ningeshangaaa sana asingemuogopa KAtibu Mkuu Mpya wa timu ya ushindi, hasa baada ya KAtibu asiyemuogopa kuongoza Chadema kwenye kushindwa Udiwani!!
- Absalom ni wakati mufaka sasa kutangaza conflict of interest, maana huwezi kuajiriwa na Mbowe halafu ukawa objective inapokuja ishus za CCM!!
Le Mutuz!!
Hata Chaguzi za CCM hazikuwa na Rushwa maana hakuna chombo cha sheria kilichothibitisha, kwahiyo anza kwanza kumwambia Sumaye na Phillip Mangula waache kuropoka kwamba kulikuwa na Rushwa maana hakuna chombo cha kisheria kilichothibitisha.Mkuu
Kama hoja ya kashfa hakuna iliyombaya kama kuzini na kuvunja ndoa za watu; hizi zenu dhidi ya Kinana ni tuhuma tu hazijathibitishwa na chombo chochote cha kisheria!" pressumed innocent until proven guilty by court of law" Kama ni usafi Dr. Slaa anausafi gani wa kimaadili mpaka akapewa ukatibu mkuu wa Chadema? Tujuze mkuu!
Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu No Research no right to speak, humjui Kibanda ni vyema ukawa msomaji tu hapa, umeshasema hujawahi kusoma makala zake sasa unapata wapi uhalali wa kuchangia haya tunayomshutumu?
Huyu ni Smile Killer analiuwa gazeti la Tanzania Daima huku akijifanya yeye ni mpiganaji na kwa taarifa yako huyu ni mmoja wa watu waliopo kwenye Payroll ya Lowasa kupitia Fred Lowasa, ila sijaelewa bado Kinana ameweza vipi kumteka huyu jamaa!! am just curious.....
Hata Chaguzi za CCM hazikuwa na Rushwa maana hakuna chombo cha sheria kilichothibitisha, kwahiyo anza kwanza kumwambia Sumaye na Phillip Mangula waache kuropoka kwamba kulikuwa na Rushwa maana hakuna chombo cha kisheria kilichothibitisha.
Mimi namuogopa
Absolom Kibanda kuliko yeye anavyomuogopa Kinana na nahisi wametoka
mbali. Ni nani angeweza kupewa list ya majina ya Kamati ya utendaji ya
CCM usiku wa kuamkia kikao cha NEC kuwa Kinana ni katibu mkuu na list
nzima na kuitoa kwenye gazeti la Tanzania Daima wakati Kikao kikiendelea
na tulijua sio yenyewe au Mwenyekiti JK angebadili baada ya kuvuja
lakini wapi ikatumika list ya kwenye gazeti la Absolom Kibanda ambayo
hata hapa JF iliingia saa 5:00 usiku kabla ya alfajiri.
Mimi sioni mantiki ya kumtimua JEMBE kama hili wakati Chama chenyewe ni
cha Demokrasia
Kila Jumatano usikose kuzisoma online kupitia www.freemedia.co.tz/daima/Nimekusoma wewe na hii makala mliyotuwekea huitaji hata cheti ualimu kuelewa mtiririko mzima; kilio chako unataka Kibanda aandike habari bila ya kuwa na uhuru wa mawazo! siku moja moja ni PM nakala za Kibanda huku nahangaika sana Washington Post; WSJ; News week na mengineyo!
Chama
Gongo la mboto DSM
- Absalom Kibanda, my good and close friend, ni wa kumsamehe cause yeye anaajiriwa na Gazeti la Mbowe, Tanzania Daima ambalo mission yake inafahamika ya kuitukana CCM kila kukicha so is wafanyakazi wote wa Mbowe wanajulikana kuwa moja ya masharti ya kulipwa ujira wao ni kuitukana CCM at any cost, sasa ningeshangaaa sana asingemuogopa KAtibu Mkuu Mpya wa timu ya ushindi, hasa baada ya KAtibu asiyemuogopa kuongoza Chadema kwenye kushindwa Udiwani!!
- Absalom ni wakati mufaka sasa kutangaza conflict of interest, maana huwezi kuajiriwa na Mbowe halafu ukawa objective inapokuja ishus za CCM!!
Le Mutuz!!
@W.J. Malecela,
..mkuu acha hizo.
..mbona Mbowe juzi hapa kamsifia JK wakati alipotembelea jimboni kwake??
..unajua CCM haijapata kuteua Katibu Mkuu wenye shutuma za ufisadi kama huyu Abdulrahman Kinana.
..angalia makatibu wakuu wote wa CCM kuanzia Pius Msekwa, Daudi Mwakawago, Rashidi Kawawa, Horace Kolimba, Philip Mangula, na Mukama. wote hao ni watu ambao waliteuliwa wakiwa na sifa za uadilifu, lakini siyo huyu Kinana "mr.loliondo."
- Na wewe kurukia treni kwa mbele ndio nini? Kumbe hujui shutuma nzito alizonazo Rais wako Dr. Slaa za kuiba mke wa mtu na kuongozwa na mkewe!! wacha siasa za makengeza bro!
- So what they are just shutuma kama vipi!!
Le Mutuz!!