Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Anasema gharama za matibabu kipindi anaumwa zilibebwa na kampuni pamoja na jukwaa la wahariri,serikali haukujali
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
umeona ehe!
ila jenerali kamaliza vizuri na mfano wa yule mjerumani.
Baada ya mkasa uliompata na mateso aliyoyapata,ndugu Kibanda amesema hata ogopa chochote Sasa kwasababu hana cha kupoteza ataandika mabaya yote anayoyajua.