Freesociety
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 984
- 926
Maana yake timu yao imefanya kazi vizuri. Hayo maneno " one team" ni ya kupongezana."One team"
Hayo maneo mawili mnapaswa kuyaelewa kabla ya ku-conclude na msisahau kuna mgodi mmoja unakaribia kufungwa.
Vile vile hii ni ishara kuwa mazungumzo hayana dalili ya kuleta muafaka zaidi ya kupelekana mahakamani.
Hisia. No analysis."One team"
Hayo maneo mawili mnapaswa kuyaelewa kabla ya ku-conclude na msisahau kuna mgodi mmoja unakaribia kufungwa.
Vile vile hii ni ishara kuwa mazungumzo hayana dalili ya kuleta muafaka zaidi ya kupelekana mahakamani.
Red Giant Mchana nimeuliza serikali ilisaini mikataba ya Mafuta.....Ni lini CCM iliwahi kuukataa uwizi wa raslimali za nchi hii?? [emoji56] [emoji87]
Ni mwaka juzi tu mlilazimisha kupitisha usiku wa manane sheria ya Gas na mafuta!! Ambayo nayo hamwezi kuitengua kama ilivyo kwenye dhahabu. Shame on U ccm !!
Hawa wanaume mshua alishatuambia wamekubali kutulipa Noah zetu. Sasa wanataka kutuacha na simanziMtetezi wao yuko Nairobi kesho BAVICHA wanamuombea Sala Maalum huko Dar es Salaam; wambie wasubiri kidogo.
Ktendo cha kusea"One team"
Hayo maneo mawili mnapaswa kuyaelewa kabla ya ku-conclude na msisahau kuna mgodi mmoja unakaribia kufungwa.
Vile vile hii ni ishara kuwa mazungumzo hayana dalili ya kuleta muafaka zaidi ya kupelekana mahakamani.
Baada ya kushirikiana na watanzania wenzetu chini ya serikali ya ccm kutuvuna kwelikweli!
Acha kuleta siasa katika vitu visivyo itaji siasaBaada ya kushirikiana na watanzania wenzetu chini ya serikali ya ccm kutuvuna kwelikweli!
MchinaTupige kura kujua ni nani anafaa kupewa umiliki wa kuchimba madini baada ya uwekezaji usio na tija kukoma?