nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 1,939
- 1,257
Huko tutaenda wote hakuna hoja hapoMwenye nguvu MUNGU tu.Magu alitunisha mizuli tetemesha watu now yuko 6 feet under.Aishi kwa kiasi tu namshauri Raisi Samia.Aangalie asiinize laana kwenye familia yake ona watoto wa Nyerere wote useless Mama Maria kaachwa hai na Mungu ashuhudie na anateseka kweli.Afanye vitu kwa haki ,kuna wanaume wanamzunguka wanampa ushauri mbaya sana haujaahi kutokea kuanzia Tz iumbwe aisee.
Ila unaendaje na unaishije sasa.Lazima upate msongo wa mawazo kwanza ukifa umechoka sana. why uishi kwa shida aiseeHuko tutaenda wote hakuna hoja hapo
Mama hana mpinzanitunamwamini sana
amtoe wapi?Mama hana mpinzani
Mama Mitano TenaView attachment 3404238
RAIS SAMIA ATUNUKIWA TUZO YA WANAWAKE WENYE NGUVU AFRIKA
Rais Samia apokea tuzo maalumu ya wanawake 100 wenye nguvu kutoka kwa Access Bank Group. Tuzo hiyo imewasilishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Access Tanzania Protase Ishengoma ikulu, Dar es Salaam.
Tuzo hiyo imetambua mchango wa mageuzi ya kijamii na kiuchumi ambayo viongozi wanawake hufanya katika Bara la Afrika.
Watanzania Oktoba Tunatik✅
yes iko hivyoHakuna kama Mama Samia
atatoka wapi?Hakuna kama Mama Samia
Ananuka ana laana kalaaniwaView attachment 3404238
RAIS SAMIA ATUNUKIWA TUZO YA WANAWAKE WENYE NGUVU AFRIKA
Rais Samia apokea tuzo maalumu ya wanawake 100 wenye nguvu kutoka kwa Access Bank Group. Tuzo hiyo imewasilishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Access Tanzania Protase Ishengoma ikulu, Dar es Salaam.
Tuzo hiyo imetambua mchango wa mageuzi ya kijamii na kiuchumi ambayo viongozi wanawake hufanya katika Bara la Afrika.
Watanzania Oktoba Tunatik✅
kwanini useme hakuna hoja?Huko tutaenda wote hakuna hoja hapo
Mwamposa ni mtu wa Mungu wa kwelikuna siku hata majambazi,walevi,wabubujikwa na machozi watatengeneza tuzo za kulinda ugali wao kama mwamposa