mwanaNjilo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 277
- 195
Ok! Hilo nalijua...lkn niliwah kuskia kwmba kuna benk inatoa a dedicated account for deposit transactions tu for a specified period of time then unaweza kuitoa (something like: account ya malengo...cna uhakika!)Account zote zinatunza pesa ukitaka kuchukua au kutochukua hiyo control unayo wewe mwenye account.
Sent using Jamii Forums mobile app
NBCOk! Hilo nalijua...lkn niliwah kuskia kwmba kuna benk inatoa a dedicated account for deposit transactions tu for a specified period of time then unaweza kuitoa (something like: account ya malengo...cna uhakika!)
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda DTB bank wana kibubu ac unaweza fanya vyote.Ok! Hilo nalijua...lkn niliwah kuskia kwmba kuna benk inatoa a dedicated account for deposit transactions tu for a specified period of time then unaweza kuitoa (something like: account ya malengo...cna uhakika!)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii tunaiitaje mkuu?!Mimi nimedeposit milion 50 CRDB kwa mkataba wa miaka mitatu kila mwezi napewa 500,000/= na baada ya miaka mitatu narudishwa hamsini yangu au ni-renew mkataba
Nitafanya hivyo mkuu. ThanksNBC
Wana akaunt ya malengo
Watembelee tawi lao lolote
Uonane na meneja ikibidi ili upate full data
Sent using Jamii Forums mobile app
Fafanua kidogo, ni aina gani hiyo ya mkataba? Yaani kila mwezi unadraw 500,000/= kwa kuweka milion 50 tu?!Mimi nimedeposit milion 50 CRDB kwa mkataba wa miaka mitatu kila mwezi napewa 500,000/= na baada ya miaka mitatu narudishwa hamsini yangu au ni-renew mkataba
Kwa Dar ni maeneo gan ntapata branch yao(?Bank Account hio unaweza pata TIB Corporate Bank,Nenda katika Matawi yao ,DSM,Mwanza ,Arusha na Mbeya
Product inatiwa Jipange Fix au hata Jipange Flex zaweza kukufaa
usishawishike kusema ni uongo na usikariri kwamba fixed deposit ndo kila kitu siku hizi unaeza enda benki ukanegotiate na meneja kila kitu unavyowaza wewe na mkatengeneza contract yenu for mutual benefits sharti tu uwe na mzigo wa maana ,Mara ya kwanza niliweka Fixed A/C nikaona faida ni ndogo nikazitoa ndio banker mmoja akaniuma sikio kuhusu THAMANI ACCOUNT.Fafanua kidogo, ni aina gani hiyo ya mkataba? Yaani kila mwezi unadraw 500,000/= kwa kuweka milion 50 tu?!
Vinginevyo nashawishika kusema si kweli, hata fixed account hupati faida hiyo.
Thamani Account mkuu
Mkuu fixed acc returning rates zao zipoje? Au inategemeana na bank husika?.usishawishike kusema ni uongo na usikariri kwamba fixed deposit ndo kila kitu siku hizi unaeza enda benki ukanegotiate na meneja kila kitu unavyowaza wewe na mkatengeneza contract yenu for mutual benefits sharti tu uwe na mzigo wa maana ,Mara ya kwanza niliweka Fixed A/C nikaona faida ni ndogo nikazitoa ndio banker mmoja akaniuma sikio kuhusu THAMANI ACCOUNT.
Thamani account?! Na unaongea na manager tu unamaliza deal? Nitafuatilia ni prove hili. Maana uwekezaji wa milioni 50 bank kwa miaka mitatu unakupatia faida ya milioni 18 ni zaidi ya deal kwangu.usishawishike kusema ni uongo na usikariri kwamba fixed deposit ndo kila kitu siku hizi unaeza enda benki ukanegotiate na meneja kila kitu unavyowaza wewe na mkatengeneza contract yenu for mutual benefits sharti tu uwe na mzigo wa maana ,Mara ya kwanza niliweka Fixed A/C nikaona faida ni ndogo nikazitoa ndio banker mmoja akaniuma sikio kuhusu THAMANI ACCOUNT.
,Ndio usiwe mbishi ukubali kujifunzaThamani account?! Na unaongea na manager tu unamaliza deal? Nitafuatilia ni prove hili. Maana uwekezaji wa milioni 50 bank kwa miaka mitatu unakupatia faida ya milioni 18 ni zaidi ya deal kwangu.
Mpunga, kila msimu unapoisha unauza na kununua tena believe hadi 2020 account itakuwa imenona sanaHabar za humu wanajamvi?!
Naomben msaada wenu kwenye hili. Nataka niwe na-deposit nusu ya mshahara wng wa kila mwezi kwny account ya benk. Lakin bado cjajua kama kuna benk inayotoa huduma ya account ambayo inamzuia customer kutokutumia pesa anayoiweza once akishai-deposit kwny account hyo kwa mujibu wa taratibu zilizowekw na benk!
Nawasilisha!
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko slow kidogo kukuelewa. Unasemaaaaa?!!!!Mpunga, kila msimu unapoisha unauza na kununua tena believe hadi 2020 account itakuwa imenona sana
Saivi fixed account ni mazao. Especially mpunga.