mwanaNjilo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 277
- 195
Habar za humu wanajamvi?!
Naomben msaada wenu kwenye hili. Nataka niwe na-deposit nusu ya mshahara wng wa kila mwezi kwny account ya benk. Lakin bado cjajua kama kuna benk inayotoa huduma ya account ambayo inamzuia customer kutokutumia pesa anayoiweza once akishai-deposit kwny account hyo kwa mujibu wa taratibu zilizowekw na benk!
Nawasilisha!
Sent using Jamii Forums mobile app