Acha chuki na wazazi wako

Kosa nikuweka chuki kwa mzazi, alitenga mda kuhakikisha mimba yako inatungwa heshimu ilo tu bila kutenga mda wao huenda usingekuwepo duniani
Bwana sperm donor hakuna aliyekushikia barua kukulazimisha umzae. Ni nyege zako na "bahati mbaya" kwako hiyo mimba ilitungwa, tena hukupenda na hukutamani kabisa. Sasa usimtishe mtu eti ulitenga muda sijui aheshimu. Wewe kula bata na mademu uliowawekeza nguvu huko, kama ni pombe na starehe endelea ukouko utakula ulikopeleka mboga.

Mambo ya kutishia nyau vijana etu sijui laana mara mabaraka ni upuuzi tu, umeyakanyaga. Hii ni muhimu kukomesha wazee wapuuzi wenye kukwepa majukumu, asiyekuwepo na lake halipo.
 
Dooh!! Hapo umtesi mzazi wako Bali wewe ndo utakuwa unashindana na mzazi chuki yako Haina maana
 
Chuki ni mzigo usikubali
 
Kosa nikuweka chuki kwa mzazi, alitenga mda kuhakikisha mimba yako inatungwa heshimu ilo tu bila kutenga mda wao huenda usingekuwepo duniani
Kwani asingekuwepo duniani angepungukiwa nini?
 
Hivi huwa kuna wapumbavu mnawapata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…