Nyamwi255
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 4,848
- 12,776
Dah...Pole sana...ila una uhakika gani kama alikufanyia yeye..?Ukiambiwa ushirikina alionifanyia huyu ibilisi acha tu huyu ni shetani fulu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah...Pole sana...ila una uhakika gani kama alikufanyia yeye..?Ukiambiwa ushirikina alionifanyia huyu ibilisi acha tu huyu ni shetani fulu
Bwana sperm donor hakuna aliyekushikia barua kukulazimisha umzae. Ni nyege zako na "bahati mbaya" kwako hiyo mimba ilitungwa, tena hukupenda na hukutamani kabisa. Sasa usimtishe mtu eti ulitenga muda sijui aheshimu. Wewe kula bata na mademu uliowawekeza nguvu huko, kama ni pombe na starehe endelea ukouko utakula ulikopeleka mboga.Kosa nikuweka chuki kwa mzazi, alitenga mda kuhakikisha mimba yako inatungwa heshimu ilo tu bila kutenga mda wao huenda usingekuwepo duniani
Wazazi ndiyo sisi na wazazi ndiyo ninyi. Tatizo liko wapiAnzisha uzi wako mzee , huu uzi ni kwa ajili ya wazazi
Dooh!! Hapo umtesi mzazi wako Bali wewe ndo utakuwa unashindana na mzazi chuki yako Haina maanaBwana sperm donor hakuna aliyekushikia barua kukulazimisha umzae. Ni nyege zako na "bahati mbaya" kwako hiyo mimba ilitungwa, tena hukupenda na hukutamani kabisa. Sasa usimtishe mtu eti ulitenga muda sijui aheshimu. Wewe kula bata na mademu uliowawekeza nguvu huko, kama ni pombe na starehe endelea ukouko utakula ulikopeleka mboga.
Mambo ya kutishia nyau vijana etu sijui laana mara mabaraka ni upuuzi tu, umeyakanyaga. Hii ni muhimu kukomesha wazee wapuuzi wenye kukwepa majukumu, asiyekuwepo na lake halipo.
Chuki ni mzigo usikubaliMzazi anayezaa halafu anatelekeza watoto na kukwepa majukumu ya kulea ni mjinga na mpumbavu sana.
Wala hastahili huruma wala msamaha wa namna yoyote ile.
Hakuna kulea ujinga wa mtu hata kama ni mzazi wako.
Huu upumbavu wa watu hasa waafrika kuzaa zaa kama mapanya halafu kulea na kuhudumia hawawezi lazima ukomeshwe.
Lijitu linazaa linakimbia majukumu kulea watoto, Halafu badae linategemea lirudi kuja kulia lia na kutia huruma kutaka msamaha kwa gia ya "mzazi/uzazi"
Aiseee hiyo hapana furushaaa huyo mzazi!!!!
Ni jambo lakushukuru sana, watu waliandaa mazingira ya namna ya kukuandaa uje dunianiKumbe kuja Duniani nalo ni jambo la kushukuru ?.... Nilikuwa sijui Safi sana.
Sasa unaona huu uzi ni kwa ajili ya freemasonryWazazi ndiyo sisi na wazazi ndiyo ninyi. Tatizo liko wapi
Ujinga ni mzigo usiulee.Chuki ni mzigo usikubali
Kabisa aiseeWatu wanashukuru vitu vya kijinga......hawana tofauti na Chawa.
Kwani asingekuwepo duniani angepungukiwa nini?Kosa nikuweka chuki kwa mzazi, alitenga mda kuhakikisha mimba yako inatungwa heshimu ilo tu bila kutenga mda wao huenda usingekuwepo duniani
UshahidiDah...Pole sana...ila una uhakika gani kama alikufanyia yeye..?
Pole sweetheart msamehe pls...sawa eeh kunjua roho Yako huko alipo nafsi yake ipate kutulia...mkamilifu ni allah pekee..Ushahidi
Hivi huwa kuna wapumbavu mnawapata?Padri wa kanisa la katoliki, ametunukiwa shahada na taasisi kubwa duniani Freemasonry,
Kwanini uteseke duniani wakati taasisi Ina uwezo wa kukutajirisha, jiunge ikiwa una kidhi vigezo hivi
Umri wako 25 - 45
Kazi yako binafsi au kipaji chako
Uwezo wa kumwaga damu mbuzi wawili wakubwa kama kiapo.
Utapewa shilingi bilioni 2.5 za kitanzania.
View attachment 3064650
Huyu ata ukimsamehe utapata dhambiPole sweetheart msamehe pls...sawa eeh kunjua roho Yako huko alipo nafsi yake ipate kutulia...mkamilifu ni allah pekee..
illuminati ni kwa ajili ya watu wote ulimwenguni. Amiin.Sasa unaona huu uzi ni kwa ajili ya freemasonry
Jambo usilo lijua ni sawa na usiku wa Giza, Tanzania vitu vingi mpo nyumaHivi huwa kuna wapumbavu mnawapata?
Ndio huwa unatapeli watu hivoilluminati ni kwa ajili ya watu wote ulimwenguni. Amiin.
Mimi sijawahi kuwa tapeli.Ndio huwa unatapeli watu hivo
asa mi ntasema nin jamanGifted girl njo usome ujumbe
Usome tu basi 🤷asa mi ntasema nin jaman