Acha chuki na wazazi wako

Acha chuki na wazazi wako

Kosa nikuweka chuki kwa mzazi, alitenga mda kuhakikisha mimba yako inatungwa heshimu ilo tu bila kutenga mda wao huenda usingekuwepo duniani
Bwana sperm donor hakuna aliyekushikia barua kukulazimisha umzae. Ni nyege zako na "bahati mbaya" kwako hiyo mimba ilitungwa, tena hukupenda na hukutamani kabisa. Sasa usimtishe mtu eti ulitenga muda sijui aheshimu. Wewe kula bata na mademu uliowawekeza nguvu huko, kama ni pombe na starehe endelea ukouko utakula ulikopeleka mboga.

Mambo ya kutishia nyau vijana etu sijui laana mara mabaraka ni upuuzi tu, umeyakanyaga. Hii ni muhimu kukomesha wazee wapuuzi wenye kukwepa majukumu, asiyekuwepo na lake halipo.
 
Dooh!! Hapo umtesi mzazi wako Bali wewe ndo utakuwa unashindana na mzazi chuki yako Haina maana
 
Mzazi anayezaa halafu anatelekeza watoto na kukwepa majukumu ya kulea ni mjinga na mpumbavu sana.

Wala hastahili huruma wala msamaha wa namna yoyote ile.

Hakuna kulea ujinga wa mtu hata kama ni mzazi wako.

Huu upumbavu wa watu hasa waafrika kuzaa zaa kama mapanya halafu kulea na kuhudumia hawawezi lazima ukomeshwe.

Lijitu linazaa linakimbia majukumu kulea watoto, Halafu badae linategemea lirudi kuja kulia lia na kutia huruma kutaka msamaha kwa gia ya "mzazi/uzazi"

Aiseee hiyo hapana furushaaa huyo mzazi!!!!
Chuki ni mzigo usikubali
 
Kosa nikuweka chuki kwa mzazi, alitenga mda kuhakikisha mimba yako inatungwa heshimu ilo tu bila kutenga mda wao huenda usingekuwepo duniani
Kwani asingekuwepo duniani angepungukiwa nini?
 
Padri wa kanisa la katoliki, ametunukiwa shahada na taasisi kubwa duniani Freemasonry,
Kwanini uteseke duniani wakati taasisi Ina uwezo wa kukutajirisha, jiunge ikiwa una kidhi vigezo hivi
Umri wako 25 - 45
Kazi yako binafsi au kipaji chako
Uwezo wa kumwaga damu mbuzi wawili wakubwa kama kiapo.
Utapewa shilingi bilioni 2.5 za kitanzania.
View attachment 3064650
Hivi huwa kuna wapumbavu mnawapata?
 
Back
Top Bottom