realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
Nimekuwa nikisoma visa mbalimbali kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu yaliyowakuta wanawake walioambiwa “Acha Kazi nitakutunza”.
Baada ya kuacha sasa wengi wao wameambulia mateso kutoka kwa wenza wao.
Ni kweli kuna umuhimu wa kumfuata mwenza alipo au alipohamishiwa lakini si kwa kuacha kazi uliyoteseka kuipata.
Hivyo basi tuwe makini sana katika kufanya maamuzi.😜