‘Acha kazi nitakutunza’ imeliza wengi

‘Acha kazi nitakutunza’ imeliza wengi

Kazi za namna hii hazipo si duniani tu bali hata mbinguni. Me akufungulie biashara itayoingiza kipato 30% chako, 30% familia na asilimia 40% kuiboresha na isiwe mbali na makazi ya Watoto.

Ke huwa mnapeleka wapi pesa zenu mkiwa katika familia?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Naelewa concern yako, msisitizo nimeuweka kwenye kujitahidi.

Suala la pesa ni gumu mimi kulijibia kwa mujibu wa wanawake wenzangu.
 
Kazi na mahusiano ni vitu viwili tofauti.

Kunae ness hapa ana batch ya ness kuchukulia muhimbili hapo.amepata ajila mwaka huu.

mume wake mfanyabiasha wa vinywaji mume kazuia mke na mke ajaenda ktumikia wananchi huko.na hana mpango na hiyo ajila.
Tumewapa mwaka mmoja tuone hatima yake.

Wanawake mmelogwa na nani?
September 1995 Feminism conference in Beijing China though not all women were negatively affected by that event till causing their marriage breaching and raising high ophans and streets children occurance numbers in this 21st century.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Kuna mijitu mipumbavu inaendekeza mapenzi ukute hapo mama yake alitoa mipesa mingi ili apate kazi yy anakuja kuacha tu kwa kauli ya mtu
 
Ila comments za humu ndo nimegundua jf imejaa wanafiki🙌 si kila siku hapa napopoana na watu wanaotukana wanawake ambao wanafanya kazi wanaita mafeminist😂 kumbe mnawapenda ee na wale umbwaa wanaosemaga eti mwanamke atulie nyumbani @theunpaidstoryteller na wajinga wenzie


Huenda wameanza kuelewa ukweli wa mambo ndio maana unaona wamebadilika.
 
Binadamu tumeumbiwa kufanya kazi, kuzalisha mali.
Kila binadamu Buza kiwa kwa kusudi maalum na Mwenyezi Mungu.
Kuolewa sio kusudi pekee la mwanamke.
 
Uache kazi kisa ndoa au mwanaume? Na wako wadada wanafanya hayo?
Nawapaa poleee sanaa. Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maarifa Hayapotei Kichwani, bahati mbaya ukosefu wa ajira umepelekea watu kuwa na uchu wa ajira mpaka wanaona thamani ya kazi kuliko familia, hii ni hatari sana. Jukumu la mume ni kutunza familia, kama mtakubaliana ima mke aache kazi au aendelee hayo yatakuwamakubaliano ya wanandoa.
Lakini Mimi si muumini wa mahusiano ya ki Bluetooth, mke yupo Mtwara, mume yupo Mwanza eti wanataka kujenga familia Bora yenye kufuata Mila na desturi. Bali kama itatokea hivyo basi hakuna budi mke kumfata mumewe, Kisha wanaweza kuangalia namna ya mke kujishughukisha au kutafuta ajira mpya.
 
Kwanza mwanaume asiyetaka mwanamke anayefanya kazi hafai.

Na kuacha kazi ni mtego, ukiacha tu ujue umekwisha. Hakuna namna maisha yanaweza kuwa sawa kwa mwanamke aliyeacha kazi kwa shinikizo la mume/mwanaume.

Hivi unaachaje kazi? Hao ndio wa kuchapwa viboko.
Watu tunatofautiana. Mimi mwanamke asiyefanya kazi hapana. Lazima awe busy. Nagombana sana na binti yangu ambaye huwa hataki kufanya kazi. Sasa mtoto amefikia umri wa day care sijui atasingizia nini
 
Back
Top Bottom