Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko poa kabisa...upo kazini ?Sijambo kabisa madam za wew?
Nimelala tu hapaNiko poa kabisa...upo kazini ?
Kabila lenu ni fighter Sana,Nini sasa wewe!?😊🤨Nimelala tu hapa
Mie nasemaga ndoa Ni utapeliNimekuwa nikisoma visa mbalimbali kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu yaliyowakuta wanawake walioambiwa “Acha Kazi nitakutunza”.
Baada ya kuacha sasa wengi wao wameambulia mateso kutoka kwa wenza wao.
Ni kweli kuna umuhimu wa kumfuata mwenza alipo au alipohamishiwa lakini si kwa kuacha kazi uliyoteseka kuipata.
Hivyo basi tuwe makini sana katika kufanya maamuzi.😜
Mimi sio fighter ndio kilicho tokea😁😁😁Kabila lenu ni fighter Sana,Nini sasa wewe!?😊🤨
🤣🤣🤣🤣🙌Mimi sio fighter ndio kilicho tokea😁😁😁
Huu ni utapeli kama utapeli mwingine.Yaani usomeshe mtoto toka Chekechea Hadi chuo.
Ufanye juhudi hadi apate kazi, alaf atokee jamaa falani huko anaye sema anampenda kupita watu wote duniani.
Amwachishe hiyo kazi na kuwa mama wa nyumbani na amtegemee yeye.
Halafu akubaliwe, Binti aache kazi.
Hapa inamaanisha shule yake yote inarudi kuwa sifuri.
Binti anarudi kuwa omba omba tena.
Vipi huyo mwenye kutegemewa akipatwa na umauti
Vipi wakiachana
Vipi akianza kuteswa na kunyanyaswa.
Ukisikia mtu kuwa Mpumbavu basi wamojawapo ni aina ya hao mabinti.
Hata ambazo mko pamoja 24 hrs zinavunjika kila siku. Kuna mambo mengi zaidi ya umbali.Ndio maana dunia ya sasa ndoa za kweli hakuna , mke anaishi huko na mume huko kisa kazi bora muachane .
Kuna mmoja aliachaga kazi bandarini kisa kaolewa na mume mwenye viduka, sasa hivi viduka vimekufa yupo tu ana bwelabwela. Hawezi tena kuajiriwa maana system imeshamtupa zamani.Kuacha kazi ni upumbavu ulio pitiliza mipaka.
We mtu usome miaka na miaka like almost 16 naushee
Then uje utulie nyumbani kama goli keeper. HELL NO!!!!!
maisha yenyewe haya haya guarantee kwamba Mambo yataenda vile unavyo Dhani.
Wadada use your common sense.
nilikuwa na mpenzi mpenzi mpenziiii mapenziiiiii.Nimekuwa nikisoma visa mbalimbali kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu yaliyowakuta wanawake walioambiwa “Acha Kazi nitakutunza”.
Baada ya kuacha sasa wengi wao wameambulia mateso kutoka kwa wenza wao.
Ni kweli kuna umuhimu wa kumfuata mwenza alipo au alipohamishiwa lakini si kwa kuacha kazi uliyoteseka kuipata.
Hivyo basi tuwe makini sana katika kufanya maamuzi.😜
Kazi za namna hii hazipo si duniani tu bali hata mbinguni. Me akufungulie biashara itayoingiza kipato 30% chako, 30% familia na asilimia 40% kuiboresha na isiwe mbali na makazi ya Watoto.However, Wanawake tujitahidi kufanya/kuchagua kazi ambazo zitatufanya tushiriki kwenye malezi ya watoto na familia walau kwa 70%.