Kwanza mwanaume asiyetaka mwanamke anayefanya kazi hafai.
Na kuacha kazi ni mtego, ukiacha tu ujue umekwisha. Hakuna namna maisha yanaweza kuwa sawa kwa mwanamke aliyeacha kazi kwa shinikizo la mume/mwanaume.
Hivi unaachaje kazi? Hao ndio wa kuchapwa viboko.