‘Acha kazi nitakutunza’ imeliza wengi

Mie nasemaga ndoa Ni utapeli
 
Kuacha kazi ni upumbavu ulio pitiliza mipaka.

We mtu usome miaka na miaka like almost 16 naushee
Then uje utulie nyumbani kama goli keeper. HELL NO!!!!!

maisha yenyewe haya haya guarantee kwamba Mambo yataenda vile unavyo Dhani.

Wadada use your common sense.
 
Huu ni utapeli kama utapeli mwingine.
 
Kuna mmoja aliachaga kazi bandarini kisa kaolewa na mume mwenye viduka, sasa hivi viduka vimekufa yupo tu ana bwelabwela. Hawezi tena kuajiriwa maana system imeshamtupa zamani.
 
Ila comments za humu ndo nimegundua jf imejaa wanafiki🙌 si kila siku hapa napopoana na watu wanaotukana wanawake ambao wanafanya kazi wanaita mafeminist😂 kumbe mnawapenda ee na wale umbwaa wanaosemaga eti mwanamke atulie nyumbani @theunpaidstoryteller na wajinga wenzie
 
Jaman mbona mnataka kuwashtua haya mabwegw yaacheni nitatoe upepo
Nauza azuma zipo za kutosha walete walete walete hao
 
nilikuwa na mpenzi mpenzi mpenziiii mapenziiiiii.
Akanifanyia ushenzi ushenzi ushenziii mapenziiii.
Nikayachukia mapenzi mapenzi..!
Fukuza kunguru kunguru kunguru "aaah aahh"
 
However, Wanawake tujitahidi kufanya/kuchagua kazi ambazo zitatufanya tushiriki kwenye malezi ya watoto na familia walau kwa 70%.
Kazi za namna hii hazipo si duniani tu bali hata mbinguni. Me akufungulie biashara itayoingiza kipato 30% chako, 30% familia na asilimia 40% kuiboresha na isiwe mbali na makazi ya Watoto.

Ke huwa mnapeleka wapi pesa zenu mkiwa katika familia?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…