‘Acha kazi nitakutunza’ imeliza wengi

Naelewa concern yako, msisitizo nimeuweka kwenye kujitahidi.

Suala la pesa ni gumu mimi kulijibia kwa mujibu wa wanawake wenzangu.
 
September 1995 Feminism conference in Beijing China though not all women were negatively affected by that event till causing their marriage breaching and raising high ophans and streets children occurance numbers in this 21st century.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Kuna mijitu mipumbavu inaendekeza mapenzi ukute hapo mama yake alitoa mipesa mingi ili apate kazi yy anakuja kuacha tu kwa kauli ya mtu
 


Huenda wameanza kuelewa ukweli wa mambo ndio maana unaona wamebadilika.
 
Binadamu tumeumbiwa kufanya kazi, kuzalisha mali.
Kila binadamu Buza kiwa kwa kusudi maalum na Mwenyezi Mungu.
Kuolewa sio kusudi pekee la mwanamke.
 
Uache kazi kisa ndoa au mwanaume? Na wako wadada wanafanya hayo?
Nawapaa poleee sanaa. Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maarifa Hayapotei Kichwani, bahati mbaya ukosefu wa ajira umepelekea watu kuwa na uchu wa ajira mpaka wanaona thamani ya kazi kuliko familia, hii ni hatari sana. Jukumu la mume ni kutunza familia, kama mtakubaliana ima mke aache kazi au aendelee hayo yatakuwamakubaliano ya wanandoa.
Lakini Mimi si muumini wa mahusiano ya ki Bluetooth, mke yupo Mtwara, mume yupo Mwanza eti wanataka kujenga familia Bora yenye kufuata Mila na desturi. Bali kama itatokea hivyo basi hakuna budi mke kumfata mumewe, Kisha wanaweza kuangalia namna ya mke kujishughukisha au kutafuta ajira mpya.
 
Watu tunatofautiana. Mimi mwanamke asiyefanya kazi hapana. Lazima awe busy. Nagombana sana na binti yangu ambaye huwa hataki kufanya kazi. Sasa mtoto amefikia umri wa day care sijui atasingizia nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…