Soma uzi huu. Biblia haijatungwa, mkuuNa vifungu vyake vya bibilia iliyotungwa na binadamu
Wewe umejuaje kama haijatungwa?Soma uzi huu. Biblia haijatungwa, mkuu
Biblia ni nini? Maelezo ya kina kuhusu kitabu hiki ambacho shetani anakichukia kuliko vitabu vyote!
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu 66 vilivyoandikwa na waandishi mbalimbali kwa muda wa takriban miaka 1,500, lakini vyote vina ujumbe mmoja unaotuelekeza kwa Mungu na jinsi ya kupata wokovu kwa njia ya Yesu Kristo. Biblia imegawanyika katika sehemu kuu mbili: Agano la Kale – Linaeleza uumbaji wa...www.jamiiforums.com
Nimethibitisha haijatungwa kwenye uzi huuWewe umejuaje kama haijatungwa?
Pole mwenyeweUnaona sasa, si nimesema: watu hawatumii muda kujifunza Biblia. Sentensi yako hiyo ni ishara kuwa hujasoma
Mit 14:21
Amdharauye mwenzake afanya dhambi; Bali amhurumiaye maskini ana heri.
Pole, nakusamehe bure
Eti bibi ako anavidole vingapi?tunaandika thread za kipuuzi pale tunapokuwa tumetafuta pesa tumechoka tunajipumzisha.
Hiz pisi mbovu zikisha jifanya zimeokoka huwa zinazuga zipo seriously na maisha.Wewe umejuaje kama haijatungwa?
sina hakika maana mila zetu kila akifiwa na mtu muhimu anakata kidole kimoja.Eti bibi ako anavidole vingapi?
aCha watu wafanye yanayowafurahisha,maana duniani tunapita tuAtakacho comment Wagumu Tunadumu ndio msimamo wangu 😹😹
Hujawahi kuniangusha kwenye comment.aCha watu wafanye yanayowafurahisha,maana duniani tunapita tu
Ukute threads zinazoonekana za kijinga kuna watu zinawasaidia kupunguza msongo wa mawazo
Wewe una utajiri gani kwanza ?Wewe unafurahi kuona wenzako wanabaki kuwa maskini?
Mtu mwenye upendo haangalii mambo yake mwenyewe (1 Wakorintho 13:5-7)
Niko chini ya Mwamba Imara(Yesu Kristo). Wewe ukiporomoka, huniporomokei mimi. Mimi ntaendelea kuwa salamamambo yetu tumeyaegesha hovyohovyo ukiyagusa tu yanakuporomokea