Wewe sio mzima kiakili 🚮Nina utajiri wa vifungu vya Biblia vinavyoweza kukupa wewe utajiri udumuo(Mit 8:18)
Kanisa jipya la nini, mkuu. Yaliyopo yanatosha. Mbaya zaidi wengine wanayatumia makanisa vibaya kuuza chumvi na mafuta ya upako fekiMi naona kama kuna kanisa jipya linataka kufunguliwa Sasa waumini watafutwe Kila upande na kwa kila mbinu.
Soma michango ya wengine ndio utajua .Thibitisha kisomi.
Soma uzi vizuri. Nimeeleza ukiandika thread, jiulize: je utapata faida? Kama unapata faida, well and good, endelea. Lakini ukweli ni kwamba wengi hawapati faida ndio sababu umaskini unazidi tu.Na je hizo thread kama zinakuletea pesa inakuwaje?
OkaySoma uzi vizuri. Nimeeleza ukiandika thread, jiulize: je utapata faida? Kama unapata faida, well and good, endelea. Lakini ukweli ni kwamba wengi hawapati faida ndio sababu umaskini unazidi tu.
Wewe ni bendera hufuata upepo?Soma michango ya wengine ndio utajua .
Kichwa chako sio kizima wewe.Wewe ni bendera hufuata upepo?
Zaburi 18:2
Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo. Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.
Nimeishaona, mkuu. Nimegusa kwenye mshono. Wamenivamia kama nyuki kwa hasira. Ingekuwa tunaonana "live" habari ya mjini ingekuwa "Setfree abondwa kwa mawe na wananchi wenye hasira"Ukweli huwa unauma hatari hapa umetugusa wengi sana.
Hahaa, huyo anaogopa sana nikimtajia vifungu vya BibliaBro unaitwa huku GENTAMYCINE
Atakutajia Vifungu vya Matusi,ngoja ajeHahaa, huyo anaogopa sana nikimtajia vifungu vya Biblia
Thibitisha utafiti wako, vinginevyo Andiko hili linakuhusu:85% ya wana bodi ni watu walojipata