Umeolewa mrembo?Thibitisha utafiti wako, vinginevyo Andiko hili linakuhusu:
Ufunuo 21:8
Lakini watu waoga, wasioamini, wapotovu, wauaji, wazinzi, wachawi, waabudu sanamu, na waongo wote, mahali pao patakuwa ndani ya lile ziwa linalowaka moto na madini ya kiberiti; hicho ndicho kifo cha pili.
😹😹😹 Wewe umemfanya mwenzio kalog off na maneno yenu..!!Aisee Lamomy nisaidie kumwambia GENTAMYCINE anaitwa huku
Mwenu Yule anajiona anajua kila kitu wakati mweupe tuu.😹😹😹 Wewe umemfanya mwenzio kalog off na maneno yenu..!!
Yani siku hizi mnajipigia popoma km kigogo Twitter vile..!! 🤣
vitunguu tenaaaWatu wanauliza wewe mwenyewe pesa unayo? Maana kila siku unaandika vitunguu vya biblia ambavyo having kichwa wala miguu, na wamesema upunguze ushauri jishauri mwenyewe
Vifungu mkuu hawa watu wanatoa Sana ushauri kwa wengine ni wale walioshindwa lakini wanaigiza wako perfect, htumskia tajiri kama Mo , GSM , Bakhresa anatoa ushaurivitunguu tenaaa
True kama kuna mtu anategemea kitu cha maana kwenye mitandao atakua hajitambui , huku ni porojo Tu real life kila mmoja atajijua anafanyajeWengine huja mitandao ku refresh mind baada ya kazi ngumu za kusaka fedha,sio kila mtu kipato chake kinategemea social platforms moja kwa moja so kumpangia mtu huyo kitu cha kuandika ni kama kumpigia kelele.
Kabisa mkuuTrue kama kuna mtu anategemea kitu cha maana kwenye mitandao atakua hajitambui , huku ni porojo Tu real life kila mmoja atajijua anafanyaje
Ulikuwa umesahauWaefeso 5:15-16
"Jihadharini, basi, jinsi mnavyoenenda; si kama watu wasio na hekima, bali kama wenye hekima; mkiukomboa wakati, kwa maana zamani hizi ni za uovu."
Ngoja waje bado huyu TlaatlaahNimeishaona, mkuu. Nimegusa kwenye mshono. Wamenivamia kama nyuki kwa hasira. Ingekuwa tunaonana "live" habari ya mjini ingekuwa "Setfree abondwa kwa mawe na wananchi wenye hasira"
Nawasamehe bure kwa kuwa hawajui walitendalo
Luka 23:34
"...Baba, wasamehe, kwa maana hawajui walitendalo!”
Mimi ni bibi Arusi wa YesuUmeolewa mrembo?
No, please. Sikubaliani na wewe. Kuna vijana wanatafuta "nondo" humu zitakazowakwamua kiuchumi. Sasa kama mtu amepiga pesa mchana kutwa halafu anakuja humu ku-refresh kwa kuandika hekaya za Abunuwas, si anawapunguzia maskini hata kidogo walicho nacho?Wengine huja mitandao ku refresh mind baada ya kazi ngumu za kusaka fedha,sio kila mtu kipato chake kinategemea social platforms moja kwa moja so kumpangia mtu huyo kitu cha kuandika ni kama kumpigia kelele.
Sikiliza ushauri huo angalau akili ifunguke kidogo chawakuna nini gentleman, mbona weo?
Jitoe kwa ajili yangu...1 Kor 13:4-8
Mtu mwenye upendo wa kweli haangalii faida binafsi bali anajitoa kwa ajili ya ustawi wa wengine.