Acha niseme ukweli ili nipate kuwa huru

Hhahahahah
 
Shida ni either sababu
1.ulijitongozesha
2.ulimsaliti ukadhani hajui ila anajua hajakwambia
3.Umeua hisia zake za kimapenzi kfupi ulikuwa unapuuza sex life kitu ambacho kimsingi ni mhm sana kwa mwanaume hivyo haoni tena umuhimu wako na labda tyr keshampata mwanamke ambaye anampa good sex

Point namba 3 inawakuta sana wanawake wanahisi mwanaume hana hisia kwake kumbe mwanamke mwenye ndo kasababisha hilo bila kujua na ndo chanzo cha ndoa nyingi kufa mengine sijui ya vipigo,dharau na kutokuhudumia familia uwaga yanatokea baada ya mwanamke kuua sex kwenye ndoa na kuifanya sex km sio kitu cha msingi.Hapa ndo mna feli sana.Huwezi kumcontrol mwanaume ambaye hamfanyi nae mapenzi mkaenjoy cheka nae,kuleni bata ila usimuamini mwanaume ambaye sex life yenu imekufa.Hatutabirikagi kabisaaaaaaaaaaa.

Kujitongozesha ni big mistake sasa nyie endeleeni na udhungu wenu huo ingawa inaweza kuwa solved km akiona unampenda kweli
 
Huyu alishaona tangu zamani kuwa hatakiwi ili akaendelea kuziba masikio; sasa hivi ndiyo anajifanya analia. Muache avune matunda ya ujinga wake
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una mtoto mmoja kwa absentee father, afu uje uzae tena watoto wengine na baba huyohuyo kisa tu usionekane malaya kwa kuzaa watoto wa baba tofauti? Hivi mnajua wanayopitia hawa watoto wanaokosa malezi na mapenzi ya baba zao? Bora ungemshauri aachane na huyo mwanaume, aanze maisha yake na mtoto wake. Mungu ni mwema , anaweza kuja kupata mwanaume akamuoa na akawa baba bora kwa huyo mtoto wake wa sasa na wengine Mungu atakaowajaalia. Tuache ubinafsi wa kujifikiria sisi tu badala ya kuwaza welfare ya watoto wetu kwanza. Wewe ndiyo unamchagulia mtoto wako mama/baba bora; unaona kabisa mtu hafai afu bado unataka kumfanya baba wa watoto wako, si kutesa watoto huko?
Go with the flow, jiulize kwanza ni kwanini uko hapo, ukipata jibu lizingatie. Kusema ukweli kuzaa watoto baba tofauti haipendezi, hata kama una mpango wa kuondoka jitahidi upate watoto wawili wa baba mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KABLA YA KUOLEWA KUNA TABIA FLANI NZURI ZA MFANO MNAONYESHA KWA MWANAUME. UKIISHA OLEWA UKO NDANI, YALE MAIGIZO YANAISHA. UHALISIA UNAONEKANA. NDIO MANZO A UPENDO KUPOA, MANZO WA KUTANGA TANGA NA NJIA.

JICHUNGUZE!
 

Ewaah hili ndio suluhisho nambari moja, lisipofanya kazi arudi tumpe suluhisho namba mbili.
 
Pole sana, uwezekano ni kuwa jamaa kakamatika sehemu. Sidhani kama tatizo ni wewe, mara nyingi sana kipindi cha mimba na malezi ya kichanga ndio kipindi cha majaribu makubwa sana kwa Me walio wengi.

Sasa mchizi kakamatwa huko, amejisahau kuwa na "mke" na mtoto, which is very bad IMO. Wanaume hata tuchepuke vipi, ni aibu kusahau watoto na mke, actually upendo kwa mke unatakiwa udabo, sasa dogo kanogewa huko kakusahau.

Pole sana, yatapita tu...
 
Ni utoto na mawazo ya wavulana lakini sio mwanaume anayejielewa, mwanaume anayejielewa lazima ajue suala zima la uzazi kwa mwanamke litabadilisha muonekano na tabia, lazima ujiandae kiakili...

Wewe umemgegeda ukapanda mbegu zako, mtoto katokea unaanza tena kumkimbia, wewe umesababisha chuchu saa 6 ziwe saa 12, halafu, wanaume tuache hizo tabia...

Mimi binafsi hata nimpe mimba mwanamke bahati mbaya... Huyo ndio ntaoa, kwa sababu sipendi kumpotezea thamani yake, nitamuheshimu, nitamjali labda azingue mwenyewe... Katika vitu sipendi ni kuwa na watoto na wanawake tofauti...,

Kumkimbia ni ku prove right wale waliomwambia wakiwemo ndugu zake kwamba "huyo mwanaume anakuchezea tu".. , mtoto wako ataishi katika mazingira magumu, pesa haina uwezo wa kuzibia upendo na mahusiano yako we na mwanao...

Wanaume wengine wanasikitisha Sana...
 
Mshana umerudia yake mambo?? Nataka nikamloge mtu ....ila ni kisiki hatari hakilogeki kirahisi. Nipe chimbo la maana hata ikiwezekana kwenda gambosh OG nitaenda. Ninae aliyekamatika mahali nataka nimnasue
We msabato wa wapi na ushirikina Naka, si chedi bwana[emoji39][emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…