Acha niseme ukweli ili nipate kuwa huru

Obest wishes mwamba pambana kama ulivopambana kumpata, ulipenda sifa zake au ulimpenda yeye. Karma is real and is a bitch, hio puss wape wenyewe waisandue. Jiongeze
 
You can't keep a man who does'nt want to be kept; utatelekezwa hapo uishie kuwapa watoto sonona.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wakati wa mpito tu, huwa yanapita haya. Muhimu tu hakuna physical abuse, mimi sioni kama kuna tatizo kubwa la kumfanya kuondoka, sema siku hizi changamoto zinatatuliwa kwa "kuondoka"!

Wakae walee mtoto wao, jamaa anahudumia, sio ishu sana. Sioni hata sababu ya yeye kuondoka, kisa gapati dudu au?
 
HAHAHAHHA jaman Demi , hivi kufunga ndoa ndio upendo eeeh

nahisi umeanza vzr ukamalizia vibaya,,,kuna ambao hawajafunga ndoa na wanapendana kuliko waliofunga,,,cha muhimu ni upendo kama ulivyotanguliza
Hapana. Kufunga ndoa sio lazima Upendo uwepo mnaweza tu ishi bila kufunga mkipenda. Ila kwa matabia hayo na ndoa hakuna unakaa ili iweje?
 
Hii ni kitu inayotokea kwa wengi. Kadri mnavyoendelea kuishi mapenz yanapungua. Na hii ni idadi kubwa sema kuta za nyumba zinabeba siri kubwa mno. Ni mpaka utokee ushuhuda kama huu.

Kwa Afrika itazid kututesa. Ila kwa wenzetu wazungu huwa wanafika mahali wanaamua kuachana kwa amani kabisa kwa sababu wameshaona moja haikai wala mbili haikai.

Mfano kuna taarifa nimeona ya Willy Smith na mpenzi wake Jada Pinkett Smith wameamua kuwa na mapenz ya uhuru kwamba kila mmoja aamue kutoka na mpenz nje kwa sababu ndani pameumana.

Sasa kibongo ni kukushauri tu vumilia na tafuta suluhu. Tumia upole kujua chanzo cha tatizo. May be kuna kitu umelegeza au hujakua mbunifu au umehamia kwa watoto zaid ya babaa.
 
Kitu kinachotukela sana sisi wanaume ni kunuka hiyo papa. Mkiwekwa ndani tu ule usafi uliokuwa unafanya mwanzo huwa mnaacha. Na huwa mnatabia ya kujisahau sana.
Hakuna hata siku utakayomwambia mme wako kwamba umemmisi, huwa mnasubiri mpaka akuanze kukwambia. Shiiiit
 
Sijui uliona comment niliyoijibu? Kwamba hata kama unaona mambo hayaeleweki, zaa au endelea kuzaa watoto, watamfanya ajifikirie mara mbili kabla ya kukuacha? Kwamba watoto ndiyo washikilie mahusiano yenu hata kama mtu hakutaki? Anaweza akaenda kuoa kwingineko na bado akahudumia watoto wake; kazi kwako.

Suala la mtu kutoka kwenye mahusiano huwa halishauriwi honestly. Mtu siku yakimfika hapa, atatoka mwenyewe kwenye hayo mahusiano bila hata ya kuomba ushauri. Huyu dada ukisoma nyuzi zake za zamani, hutoshangaa haya anayoyapitia; alikuwa anajua kabisa mahali anapoingia, na hapa atakuja na nyuzi nyingine za kulia.
Huko kunyimwa dudu, apambane tu na hali yake; maana akichepuka akakamatwa ndiyo ataachwa vizuri
 
Tatizo lilianza ulipojitongozesha. Acha mwanaume akutake yeye mwanamke tulia uringeringe
Mi nikijua tu ananipenda nambana kwenye Kona ya mahaba hawezi kuchomoa utasikia tu "kenzy nini lakini..?" Mi nahoji si useme dear! Atajiumauma namkata jicho la "usiposema utakosa utamu!" Hapohapo tu utasikia "nakupenda kenzy!"..😁😁
 
Mfanyie vimbwanga bwana yaan mtamanish vaa nguo za mitego mbwetukie kila style vaa khanga na pichu tu kila akija kama hattakutamani na hapo uyo jamaa ni shoga
 
Unataka ufanyiwe bure? Hela yenyewe elfu kumi tena ni unanunua kitabu tu then anakushauri
Unadhani watu kama akina Mauki wanacharge 10000?
10000 we unaona ndogo mimi hata buku sitoi mahusiano ya siku hizi yana ushauri
 
Wewe utakua unaongea sana.
Mlalamishi muda wote.
Huridhiki
Muda wote ni mkosoaji na mjuaji kupita maelezo.
Mwanaume ameamua kuchagua utulibu
Yuko mahali anapata faraja kwahiyo anakuona kioja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…