Acha niseme ukweli ili nipate kuwa huru

Nenda pole pole utagundua nn shida. Kuna watu wengine wanachangamoto na hawawez hata waambia wake zao ndo inapelekea hata kutompa huduma mke. Sio kwamba anakuchukia au anachepuka hapana, ni issue kama hizo stress ambazo hawez hata kukuambia
 
Usije ukafuata tu ushauri wa baadhi ya wanawake wenzio waliokushauri kuachana nae na kuondoka hapo .. utakuwa siuo uwamuzi wa busara!
 
Focus kwenye mambo yako ,lea mtoto ,Omba Mungu, usijilaumu,punguza gubu,jipende ,fanya majukumu yako kwake kwa upendo hata kama hakuna maelewano ya karibu,jiwekee mikakati yakudumu hapohapo kama unaweza .kama we ni attention seeker [emoji848][emoji848]itakuwia ngumu ila jitahidi inawezekana....Acha huyo kijana atembee kidogo usaidiwe majukumu maana anafanya kwaajili yake , akichoka atarudi ila akipotea moja kwa moja usiugue sana.Kuna sababu ya uhai ulionao(sio sex) hakikisha unaishi hiyo sababu wakati unaendelea kumkuza huyo mtoto. Usiharakie mahusiano mengine ili upate amani unayoikosa ndani utaharibu,
Nina mengi ya kukuandikia ila inatosha kwaleo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo lipo hapo ..."tukipishana kauli nkijinunisha" wanaume wapole dadaangu bora ufoci mpigane kuliko kupeana adhabu za vitendo kama izo wao wanaweza kukuadhibu pasipo kukugusa....unaweza beba vitu mwenyewe bila kuambiwa.....kuna maneno huenda unatamka ukiwa mnagombana huwa hawayasahau.....alafu nyie wanawake hamnaga kuomba msamaha maana mnajiona mko right ......usipoweza kujishusha kumuomba msamaha kutafuta suluhu me nakushauri beba vitu usepe ....unaweza jinyonga
 
Swx pattern mliyoanza nae umeibadili?,je kuna kitu au huduma kwake umeibadili?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mi sioni shida hapo japo wee dhamira ya kumtongoza inakusuta na ulivyokuwa mjinga ukamwambia et ulijitongozesha sasa akifikiria na akakumbuka ni wewe ulijipeleka yaani anahisi kuchoka
Ila naomba uache kumganda hata kama roho inauma but jifanye hutaki,muache kwanza kisirani kikiisha atarudi lakini unavozidi kumsumbua ndo unavyomsogeza mbali,utashangaa mwenzio anakuona msumbufu na anasema kimoyomoyo (mtu mwenyewe alijitongozesha)
 
2017 mapenzi yanaanza,2018 ndoa[emoji23][emoji23][emoji23]vijana mko vyedi
 
Ndo ujute, aliyekupenda ulimkataa, na unayempenda hakupendi.

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Haukujiuliza pamoja na sifa zote kwanini alikuwa single? Afu Mbona haujasema kuwa ulichanganya na ndumba ili akuoe???
 
Duh hata cjui nikushaur nini
 
Tatizo lilianza ulipojitongozesha. Acha mwanaume akutake yeye mwanamke tulia uringeringe
Hili ndilo jibu sahihi.

Nimeona wengi wakishauri ajiweke smart, mara amfuate jamaa na kuzungumza naye n.k, lakini kiuhalisia jamaa hana mapenzi yoyote kwa dada yetu, na hakuna kanuni ya kumbadilisha zaidi ya kuukubali ukweli tu na kuvumilia au kufanya maamuzi mengine.

Mimi mwenyewe nina sifa kama za huyo mdau hapo (mkimya sana na sina makuu). Aisee katika ukimya wangu (na ninaamini hata wakimya wengine wapo hivi) huwa sina tabia ya kutongoza ovyoovyo, ukiona nimemtongoza mwanamke ujue nimempenda kwelikweli, na ndo huyo atanitesa baadaye!

Lakini kutongoza mara chache haimaanishi kuwa nakuwa na fursa finyu ya kupata wanawake, hapana. Wanawake wengi (hasa waliotendwa na players waongeaji) huwa wanajitongozesha kwa wakimya wakiamini ni mahala salama kwao, kumbe ndo wanajizika kabisa kwa simba waenda pole.

Mimi huwa nawapata wengi wa kujileta (loose balls), na wanaume hatuna utaratibu wa kukataa fursa. Sasa matokeo yake huwa nawasotesha sana kwakuwa mapenzi yangu hayapo kwao hata kidogo, na sipendi kabisa kuwatesa lakini inatokea automatically kwakuwa mapenzi hayapo. Yaani nikiwa na mpenzi wa namna hiyo hata nigundue ananichepukia hata sishtuki! Hata asafiri mwaka mzima kama asemavyo mtoa mada, haina tabu. Ila kwa niliyemtongoza mwenyewe akianza vituko hadi makamasi yatanidondoka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…