DOKEZO Achana na kunguni, UDOM ina vyoo vichafu sijawahi kuona

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Therefore....
Wasomi hawa ni wahanga WAKUU wa UTI sugu..

My Condolences...
 
Hakuna sehemu ya umma yenye choo kisafi TZ nzima hakuna. Hata Ikulu itakua na vyoo vichafu.
 
Kwenye suala la vyoo ni kipengele kwa kweli, enzi za kujitafuta niliwahi kujichimbia hapo UDOM wakati najipanga na resi za ile ofisi iliyopo pale Asha Rose Migiro

Aisee vyoo vya hiko chuo ilikuwa ni balaa, ukiacha kutokuwa na maji, unakuta mzigo umesheni ni hatari, sinki zima limeenea kifusi tu na sio kimoja vyoo vyote!! Mpaka unajiuliza hawa jamaa huwa wanakula nini. . . Maana mzigo kama wa tembo

Ila sasa utafanyeje, warekebishe vyoo vyao na mifumo ya maji
 
Miundombinu miundombinu miundombinu, mifumo ya maji taka na mifumo ya maji safi, choo bila maji ni balaa na maji sio kizibo maji inabidi yawe ya kutosha na ya uhakika na sio unawaachia wao wanafunzi tu wafanye usafi wao wanachojua kuna watu wa usafi wameajiriwa na Chuo kuwe na mtu anaangalia usafi wa vyoo asubuhi, mchana na usiku ndio wanavyofanya vyuo vingine na maeneo tofauti hata kwenye vituo daladala kwenye vyoo vya kulipia usafi unafanyika mda wote vyoo vinakua visafi kuna watu wa usafi wanasafisha kukiwa na hali tofauti na wanalipwa kufanya usafi hawafanyi bure km kuna maboresho wanafanya maboresho haraka iwezekanavyo
 
vyoo vyote vya public tanzania nzima huwa vinajengwa vizuri sana ila watumiaji ni wachafu na waharibifu, ustaarabu kwa mtanzania huwa ni shida sana, watanzania wengi wanaharibu miundo mbinu bila sababu, wengine wanakojoa kwenye chumpa za maji na kutupa barabarani hii uliona wapi nchi zingine?
 
Sio baadhi ni majority wachafu mbwa.
Ndio maana wanaajiriwa watu wa usafi wewe uwe muelewa hakuna public toilet ambayo watu wanasafisha Choo wenyewe watu wanasafishiwa na wale walioajiriwa kufanya usafi wa vyoo na wanakua around muda wote kuangalia mazingira ya usafi wa vyoo na bafu, sasa unaambiwa SUA ya mwaka 1984 Ina vyoo visafi kuliko UDOM ya 2007 unafikiri tatizo lipo wapi hapo? SUA na UDOM vyote si vyuo na vyote si vina wanafunzi au wanafunzi wa SUA wanatoka Burundi? Kwanini SUA iwe na vyoo visafi Ila UDOM iwe na vyoo vichafu?

Kuna tatizo pahala na hilo la SUA ni mfano mdogo tu kuna vyuo vingi vina vyoo visafi mpaka unaweza ukaamua ubakie huko huko chooni choo hakinuki mavi na mikojo unajiona km upo sebleni kwako, sababu ni miundombinu mizuri ya maji na ujenzi wa vyoo rafiki kwa matumizi sio choo km wanaojisaidia ni mifugo
 
Ndio maana kuna watu wameajiriwa kwa ajili ya kufanya usafi kwenye public toilets zote,
 
Hakuna sehemu ya umma yenye choo kisafi TZ nzima hakuna. Hata Ikulu itakua na vyoo vichafu.
Ni kweli Mkuu, na sio TZ tu, sehemu yoyote yenye watu weusi ni tatizo duniani

Mitaa yote yenye WATU WEUSI wengi duniani ni KUCHAFU na kunaitwa gheto

Tazama USA, Australia, South Africa na kwingineko

Watu weusi waniga Ustaarabu lakini hawana Ustaarabu

Sio Wabunifu wala Wagunduzi, Hawajui kutunza vitu ila kuharibu tu na hata wakiharibu hawajui kutengeneza

Public toilets zote ni CHAFU
 
Public toilets zote ni CHAFU
Sio zote fika kituo cha daladala Segerea Mwisho waambie wakuelekeze Chooni kuna Choo Cha kulipia pale nenda chooni mule ukashangae wamekuwekea hadi sanitizer, usiishi kwa kukaririshwa ujinga labda ukaanze kuchafua wewe na ukichafua wapo wafanya usafi watasafisha ndani ya mda mfupi
 
Hilo la watu kukojoa kwenye chupa za maji nililishuhudia live mwaka 2021.

Bila aibu, mwanaume mmoja alichukua chupa tupu la maji akajiinamia kitini akakojoa na kulitupa nje. Bahati nzuri dereva aliona chupa likirushwa nje, akasimamisha basi na kumkomalia mpaka akalifuata. Ilikuwa aibu sana.

Tulikuwa tunaelekea Sumbawanga tukitokea Katavi, na mahali chupa lenye mkojo lilikotupwa ni eneo la hifadhi. Ndiyo maana dereva aliamua kukomaa naye.
 
Tatizo liko pale pale


Hatushughuliki na Chanzo huwa tunashughulika na Matokeo. Choo hakijichafui chenyewe kuna chanzo cha uchafuzi huo, tukiweza kudhibiti hapo tutafanikiwa
 
Hawajaja kuchota maji visimani wee mpuuzi!! Watasoma saa ngapi?Chuo kishughulikie tatizo la maji na miundombinu yake.Kajifunzeni Udsm,wanaelewana na dawasco,wanaelewanq na tanesco,kwasababu ya business process ya chuo lazima maji yawepo vizuri,lazima umeme uwepo vizuri.Fanya hivyo udom acha kujitetea
 
Ukiwaambia tatizo ni UONGOZI wanakuja juu hao balaa, yaan wao wanajiona wapo sawa tu hawana tatizo lolote hawaumizi vichwa wanafikisha vipi maji chooni yaani wanashindwa kufikisha maji kwenye vyoo karne hii wanashindwa kujenga miundombinu ya maji safi na salama kwenye vyoo tena kwa kutumia Maji hayo hayo ya visima maji yatavutwa na mota kwenda kwenye matank ya vyoo km wanavyofanya vyuo vingine, wao wanashindwa nini au akili fupi?
 
Hii ni public toilet umeona ilivyo Safi? Itabidi kila public toilet ntakayoingia nipige picha niweke humu maana watu hawaelewi mpaka waone
 
hawa wasomi waende vyuo vingine waone wenzao walivyonyooka kwenye hayo mambo ya usafi.
Vyuo vingine maji yamejaa vyooni wamewekewa mpaka mapipa ya plastic na majaba majaba haya majaba unayoyajua wamejaziwa maji ya akiba chooni hakuna muda wa kuhangaika kubeba mandoo, UDOM wanashindwa nini kufanya hivyo?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…