DOKEZO Achana na kunguni, UDOM ina vyoo vichafu sijawahi kuona

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mnazuiwa kuweka picha kuthibitisha
 
ukute wewe n namba moja kwenda kujisaidia na kakopo ka maji unategemea vyoo viwe visafi...
swala la vyoo kunuka ni nyie siyo chuo kukilaumu
Usikwepe lawama,jitazame.Halafu cha ajabu taasisi kama hiyo ina procured huduma ya usafi na wanalipwa kila mwezi.Takukuru upoo. .
 
Hawa wanafunzi wengi wao ni watoto wetu sisi wakulima uku. sisi uku vyoo yetu ni vya shimo vile vya kulenga.

Hayo mambo ya choo cha mzungu wameyakuta ukouko chuo na bahati mbaya mambo aya hakuna anaekufundisha, utafanya unavoweza au ulivozoea uko kwenu.

inabidi lazma wafundishwe matumizi (wapende wasipende) vinginevo iyo shida haiwezi kuisha.

uko maofisini kwenyewe tu kuna watu kibao wanapanda na viatu juu ya masinki ya choo cha kukaa sembuse uko shuleni.

wakusanywe ao wanafunzi wafundishwe matumizi sahh na usafi wa choo.
 
Thibitisha mimi ni udoso. kwahiyo kuongelea mambo ya udom ndio kua udoso? kweli hii nchi ina vilaza wengi.

Udoso..University of Dodoma Students Organization. Msamehe tu alipaswa akueleweshe
 
Wabongo kwa uchafu, utafikiri Wasomali na Wapemba?
 
Umeongea vema imagine Hawa ni watu wazima wenye Dorm leader wenye serikali Yao na zaidi wenye utashi wao wa matumizi Bora ya maliwato hapo ni kukaa kikao kikali Cha pamoja mnakuja na suluhisho lenu bila kushirikisha uongozi halafu wengine wote wanajifunza kwenu
 
Kuhusu vyoo ni wanafunzi wenyewe, kama usafi vinafanyiwa kila siku, shida ni wanafunzi wachafu sana, mtu anajua hana maji lakini anafosi kuingia bila maji, huu upuuzi upo sana.
Na sijui kama mlipopita JKT mlielewa somo la usafi.
Afanyeje maji hayatoki sasa??
Jifunzeni Ud mbona hamna shida ya maji na ni kusafi
 
Maligota magabe wa moshi Tanzania nalipanda jukwaa la manufaa kwa kusema
*Huku chuo cha KCMC unaweza ukapiga hata msosi kabisa chooni!!
Jifunzeni huku*
 
kunguni ni mtihani toka kwa Allah kwa mujibu wa kishki.Na dawa yake ni kuvaa baibui.
 
Wameshindwa kutengeneza miundo mbinu ya Maji ya uhakika pale chuo duhhh...aibu hii wasomi wetu
 
Poleni majaba Tena[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Karibia vyuo vyote wapo hivo sio udom tu, baadhi ya wanavyuo wenyewe ni wachafu,nje wanavaa vizuri ila tabia zao sasa
Wwtu wamekulia mikoani huko makatavi na mamlimba huko,hivi unajua historia ni mwalimu mkuu,jitahidi Sana kila mtu asafishe Mzigo wake kwa major tirirka,Tanzania watu wengi tuko wachafu sana
 
Kwani hiki chuo hakiwezi kuchimba visima vyake kadhaa, hapa suala kubwa ni kuhakikisha maji yanatosha na uongozi kuweka utaratibu wa kuhakikisha vyoo vinafanyiwa usafi angalau mara tatu kwa siku
 
Unaenda wajengea choo safi wagogo ambao wamezoea kunya maporini? Lazima vyoo viwe vichafu.πŸ˜ƒπŸ˜†πŸ˜„πŸ˜žπŸ˜
 
Hicho ni choo cha stendi ya mabasi ya Katoro mkoani Geita. Unafikiri ni kwa nini wameamua kuandika hivyo?

Inawezekana Uongozi wa UDOM una mapungufu yake, lakini kwa vyoo kuwa vichafu si la uongozi wa Chuo pekee.

Suala la usafi wa vyoo bado ni changamoto kubwa sana Tanzania. Tabia ya usafi bado haijafikia viwango sahihi.
 

Attachments

  • IMG_20231030_173551.jpg
    902.5 KB · Views: 5
  • IMG_20231030_173533.jpg
    638.8 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…