Achana na mapungufu ya mtu angalia umuhimu wake kwako

Wanaume msidanganyike na hawa singo maza waliozalishwa na kutelekezwa kwasabab ya upumbav wao... Mwanaume atabaki kuwa mwanaume, kama ulifanya makosa ukaoa na huyo mwanamke anakusumbua fukuza akapauke mbali huko, tafuta mwanamke mwingine zalisha na yeye akileta fyokofyoko fukuza... Hawa singo maza wanajua walishaharibu maisha yao sasa wanashawish na wanawake wenzao wafanye upumbav waharibikiwe ili wasichekane... Hata vitabu vya dini vimeweka wazi kwa mifano mwanamke chombo cha starehe, maana yake asikusumbue...
All in all KATAA NDOA UISHI KWA AMANI UIMARIKE KIUCHUMI...
 
Onhoo,yamekuwa hayo tena.
 
Walikupa maua yako? Njoo bobo.
 
Yeah, nalala mapema niwahi kesho kazini
Kufanya kazi ni jambo jemaz una heri una uwezo na nafasi ya kufanya hivyo. Hata hivyo hii ni kazi pia. Unanipa dakika ngapi za faragha?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kufanya kazi ni jambo jemaz una heri una uwezo na nafasi ya kufanya hivyo. Hata hivyo hii ni kazi pia. Unanipa dakika ngapi za faragha?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbili zinatosha aisee,mlinz mnoko kweli
 
Kabisa Cc ephen_
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…