rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,032
- 18,540
Nakubali Mia kwa Mia,lakini Mwanaume akudharau,akuite MCHAWI,akwambie mtoto wake humpendi.akwambie wewe mzee,Mara sijui una jipya gani+kuchepuka aiseeee nakimbia.
Mara Mia achepuke lakini asiwe na gubu Wala maneno ya karaha,mbona unadumu Hadi kifo
Siku hizi wanachepuka hadi na mashoga asipokuletea magonjwa ya zinaa atakujaza laana na watoto wako