Achana na mapungufu ya mtu angalia umuhimu wake kwako

Au nasema uongo?
Tazama ana umuhimu gani kwako...kama hana faida yoyote kwako....huyo hakufai....unataka mume mwajibikaji kwa familia nae anatimiza ipasavyo ila ana tatizo la kupenda michepuko....usimwache bali mkumbushe kucheza salama....kinyume chake kwa mwanaume umepata mke uliyekuwa unamtaka hakubani,anakutunzia watoto vyema ila ana gubu,maneno hayamwishi usimwache jifunze kuondoka home kwa muda akianza kelele usisahau na vibao vya kushtukiza.

NB: Mwanamke Malaya hafanani na mwanaume Malaya....mtapinga ila ndo ukweli...
Mwanamke hawi na ndoa nyingi....akipata ya nje wewe wa ndani utajuta.👊
Una hoja madam...
 
To yeye Kwa mwanaume jamani pigeni shoo za maana hakika utakumbukwa siku zote ...
Sisi tuliobarikiwa kuunganisha bao nne kwa mkupuo hakika hawa wanawake wanatuvumilia kwa mengi...
😂😂😂tunavumilia tu...hata kukesha then asubuhi twakanda mkuu
 
Au nasema uongo?
Tazama ana umuhimu gani kwako...kama hana faida yoyote kwako....huyo hakufai....unataka mume mwajibikaji kwa familia nae anatimiza ipasavyo ila ana tatizo la kupenda michepuko....usimwache bali mkumbushe kucheza salama....kinyume chake kwa mwanaume umepata mke uliyekuwa unamtaka hakubani,anakutunzia watoto vyema ila ana gubu,maneno hayamwishi usimwache jifunze kuondoka home kwa muda akianza kelele usisahau na vibao vya kushtukiza.

NB: Mwanamke Malaya hafanani na mwanaume Malaya....mtapinga ila ndo ukweli...
Mwanamke hawi na ndoa nyingi....akipata ya nje wewe wa ndani utajuta.[emoji109]
huu uzi haunifai mim ni mshenzi sana[emoji124]
 
Back
Top Bottom