mxrereco
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,906
- 3,986
Kunyaa na Mo energy nitalipaKaranga za kuchemsha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunyaa na Mo energy nitalipaKaranga za kuchemsha
Duh maneno mazito sana ila yanaeleweka vizurii mnoAu nasema uongo?
Tazama ana umuhimu gani kwako...kama hana faida yoyote kwako....huyo hakufai....unataka mume mwajibikaji kwa familia nae anatimiza ipasavyo ila ana tatizo la kupenda michepuko....usimwache bali mkumbushe kucheza salama....kinyume chake kwa mwanaume umepata mke uliyekuwa unamtaka hakubani,anakutunzia watoto vyema ila ana gubu,maneno hayamwishi usimwache jifunze kuondoka home kwa muda akianza kelele usisahau na vibao vya kushtukiza.
NB: Mwanamke Malaya hafanani na mwanaume Malaya....mtapinga ila ndo ukweli...
Mwanamke hawi na ndoa nyingi....akipata ya nje wewe wa ndani utajuta.[emoji109]
SahihiKuna mambo hayavumiliki hata awe na ya muhimu vip
Binafsi huwa namuambia wife anaumuhimu mkubwa sna tena sna ktk maisha yng na familia kw ujumla lkn lazima ajue kw namna yoyote ile asipokuwepo maisha lazima yaendelee. Wako watu walilia na kugalagala wakiuliza wataishije baada ya kuondokewa na wapendwa wao lkn now wamesahau. Kwahiyo usivumilie tabia mbovu za mtu kwa kuziita ni madhaifu kwakuwa tu anakufaa kw namna fulani.
Hapo kwenye mchepuko hapoooo.Au nasema uongo?
Tazama ana umuhimu gani kwako...kama hana faida yoyote kwako....huyo hakufai....unataka mume mwajibikaji kwa familia nae anatimiza ipasavyo ila ana tatizo la kupenda michepuko....usimwache bali mkumbushe kucheza salama....kinyume chake kwa mwanaume umepata mke uliyekuwa unamtaka hakubani,anakutunzia watoto vyema ila ana gubu,maneno hayamwishi usimwache jifunze kuondoka home kwa muda akianza kelele usisahau na vibao vya kushtukiza.
NB: Mwanamke Malaya hafanani na mwanaume Malaya....mtapinga ila ndo ukweli...
Mwanamke hawi na ndoa nyingi....akipata ya nje wewe wa ndani utajuta.[emoji109]
Mbona maskini ndo wanajeuri sana jamani...kauli mbaya na dharau mdomoni ndo zimewajaa wao...sijui bora nani.. DaaNiliwahi kuwa na akili hiyohiyo mpaka siku nilipolia kwa sauti kupiga mayowe huku najiziba mdomo watu wasisikie....
Ushauri wangu kwa wote: Tabia mbaya hazivumiliki hata awe milionea utalia na kusaga meno siku ikikufika
BInti usiingie kwenye mahusiano wala ndoa sababu tu anaweza kukulisha na kutunza familia ukaignore tabia za hovyo AKA mapungufu
Darling utajutia hadi unaingia kaburini
Nakubali Mia kwa Mia,lakini Mwanaume akudharau,akuite MCHAWI,akwambie mtoto wake humpendi.akwambie wewe mzee,Mara sijui una jipya gani+kuchepuka aiseeee nakimbia.Au nasema uongo?
Tazama ana umuhimu gani kwako...kama hana faida yoyote kwako....huyo hakufai....unataka mume mwajibikaji kwa familia nae anatimiza ipasavyo ila ana tatizo la kupenda michepuko....usimwache bali mkumbushe kucheza salama....kinyume chake kwa mwanaume umepata mke uliyekuwa unamtaka hakubani,anakutunzia watoto vyema ila ana gubu,maneno hayamwishi usimwache jifunze kuondoka home kwa muda akianza kelele usisahau na vibao vya kushtukiza.
NB: Mwanamke Malaya hafanani na mwanaume Malaya....mtapinga ila ndo ukweli...
Mwanamke hawi na ndoa nyingi....akipata ya nje wewe wa ndani utajuta.👊
Yeah,kwa kweli kuna mambo hayavumiliki cuteNakubali Mia kwa Mia,lakini Mwanaume akudharau,akuite MCHAWI,akwambie mtoto wake humpendi.akwambie wewe mzee,Mara sijui una jipya gani+kuchepuka aiseeee nakimbia.
Mara Mia achepuke lakini asiwe na gubu Wala maneno ya karaha,mbona unadumu Hadi kifo
Kwa kweli utateseka sanaa.hakuna kitu kinaumiza Kama maneno ya hovyo.Ukijiuliza umefanya nini hupati jibuNiliwahi kuwa na akili hiyohiyo mpaka siku nilipolia kwa sauti kupiga mayowe huku najiziba mdomo watu wasisikie....
Ushauri wangu kwa wote: Tabia mbaya hazivumiliki hata awe milionea utalia na kusaga meno siku ikikufika
BInti usiingie kwenye mahusiano wala ndoa sababu tu anaweza kukulisha na kutunza familia ukaignore tabia za hovyo AKA mapungufu
Darling utajutia hadi unaingia kaburini
Nimekuelewa mkuu,asanteBinafsi huwa namuambia wife anaumuhimu mkubwa sna tena sna ktk maisha yng na familia kw ujumla lkn lazima ajue kw namna yoyote ile asipokuwepo maisha lazima yaendelee. Wako watu walilia na kugalagala wakiuliza wataishije baada ya kuondokewa na wapendwa wao lkn now wamesahau. Kwahiyo usivumilie tabia mbovu za mtu kwa kuziita ni madhaifu kwakuwa tu anakufaa kw namna fulani.
Madhaifu kwl tunaweza kuvumiliana lkn c tabia mbovu
Sio maskini wala tajiri , kuna mapungufu yayavumiliki my dearMbona maskini ndo wanajeuri sana jamani...kauli mbaya na dharau mdomoni ndo zimewajaa wao...sijui bora nani.. Daa
Wacha waonje moto kwa ulimiKwa kweli utateseka sanaa.hakuna kitu kinaumiza Kama maneno ya hovyo.Ukijiuliza umefanya nini hupati jibu