Achana na rekodi ya 'Unbeatean', Wanayanga hii rekodi pia 'Tuishi Nayo'

ninosi

Senior Member
Joined
Jun 30, 2022
Posts
151
Reaction score
333
Leo (13/11/2022) imetimia miezi miwili (siku 62) tangu yule mshambuliaji 'machachari' Fiston Mayele afunge goli katika NBC PL. Ikumbukwe Mayele ndiyo mchezaji pekee ambaye 'tunaimani' anaenda kutuvusha group stage ya CAFCC mbele ya Pyramid na TP Mazembe.

Wanayanga kipindi 'tunaendelea' kuhesabu ile rekodi yetu ya unbeaten katika NBC PL, tukumbuke kuhesabu na hii rekodi ya mshambuliaji 'machachari' Fiston Mayele.

NB: Nashauri mechi ijayo ya NBC PL (17/11/2022) dhidi ya Singida Big Stars (tawi letu), tusimame na kupiga makofi katika dk ya 46 na 66 ili kuzienzi rekodi zetu zifuatazo:-

1. Yanga SC kucheza mechi 46 bila kupoteza mechi.
2. Fiston Mayele kutimiza siku 66 tangu mara ya mwisho alipofunga goli katika NBC PL.

Screenshot_2022-11-13-22-37-14~2.jpg

Screenshot_2022-11-13-22-44-46~2.jpg
 
View attachment 2415888
View attachment 2415890
Ajabu wanao umia ni mikia sisi hatuna shida, tukubushe mara ya mwisho bocco kufunga ilikua lini
 
Anahitaji nafasi tatu mpaka tano ndo afunge bao la kwanza..Na game dhidi ya Kagera Sugar kama angesambaza upendo kwa wachezaji wenzake matokeo yangekuwa zaidi ya hili la bao moja.

Timu isingepata ushindi, bila shaka mashabiki walishapanga kumlaumu.
Chukua magoli ya msimu huu ya John Bocco , changanya na ya Kibu Denic alafu katiakatia na magoli ya Okwa bado hawamfikii Clement Mzinza [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]....!!!!!
Hii nayo ni aina nyingine ya aibu
 
Kibu mabange na kapama wamefunga lini?
Mkuu swala la mfungaji bora 'wetu' wa NBC PL msimu uliopita kumaliza miezi miwili bila kufunga goli hata la offside si jambo dogo.

Nashauri Ndg. Peter (Director wa filamu ya Royal Tour), hiii suala aliingize katika filamu ijayo. Hili suala litasaidia sana kuongeza idadi ya watalii ambao watataka kuja kumshudia 'mshambuliaji machachari' Mayele.
 
Ajabu wanao umia ni mikia sisi hatuna shida, tukubushe mara ya mwisho bocco kufunga ilikua lini
Mkuu hakuna mtu anayeumia. Ni suala la kuweka kumbukumbu sawa, ili hata wanetu wakikua watambue kua kuna 'mshambuliaji machachari' aliwahi kupita Yanga SC ambapo msimu wa kwanza alikua mfungaji bora, msimu uliofata alitumia siku 62 (japo siku zinaongezeka) bila kufunga goli hata la offside.
 
Chukua magoli ya msimu huu ya John Bocco , changanya na ya Kibu Denic alafu katiakatia na magoli ya Okwa bado hawamfikii Clement Mzinza [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]....!!!!!
Hii nayo ni aina nyingine ya aibu
Nimesema kiufupi lakini Wewe unaleta kufanananisha Okwa, Bocco na Kibu.

Kwa asilimia kubwa Mayele harakati zake uwanjani ndo yupo hivyo..Hayo mambo ya ushabiki nadhani baki nayo mwenyewe Mkuu..!
 
Haya baada ya hayo tukusaidie Nini?
Nisaidie kusambaza taarifa hiii kwa Wanayanga 'wenzetu' ili mechi ijayo tusimame kwa pamoja Taifa ili tuienzi hii rekodi ya 'mshambuliaji machachari' Mayele.
 
Ajaribu kumuiga mwenzie Opah
Sidhani kama ataweza mana Opah Clement Sanga ni mlima mzito kwake.

Juzi juzi tu hapa (5/11/2022) Opah alfanikiwa kuiwezesha timu yake (Simba Queen) itinge nusu fainali ya CAFWCL kwa kufunga goli la ushindi dk ya 79.
 
Leo (13/11/2022) imetimia miezi miwili (siku 62) tangu yule mshambuliaji 'machachari' Fiston Mayele afunge goli katika NBC PL. Ikumbukwe Mayele ndiyo mchezaji pekee ambaye 'tunaimani' anaenda kutuvusha group stage ya CAFCC mbele ya Pyramid na TP Mazembe.

Wanayanga kipindi 'tunaendelea' kuhesabu ile rekodi yetu ya unbeaten katika NBC PL, tukumbuke kuhesabu na hii rekodi ya mshambuliaji 'machachari' Fiston Mayele.

NB: Nashauri mechi ijayo ya NBC PL (17/11/2022) dhidi ya Singida Big Stars (tawi letu), tusimame na kupiga makofi katika dk ya 46 na 66 ili kuzienzi rekodi zetu zifuatazo:-
1. Yanga SC kucheza mechi 46 bila kupoteza mechi.
2. Fiston Mayele kutimiza siku 66 tangu mara ya mwisho alipofunga goli katika NBC PL.

View attachment 2415888
View attachment 2415890
Na uweke kwenye rekodi pia kuwa (1)Fiston Mayele ndiye mchezaji pekee anayekabwa na mabeki kuanzia watatu hadi wanne kwenye mechi

(2)Inawezekana kabisa ndiye mchezaji pekee anayeongoza kukaangwa huko kwenye vibanda vya ulozi ili tu asitikise nyavu.zoezi hili likiratibiwa na kusimamiwa na wale wa upande wa pili kwa umahiri mkubwa

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Anahitaji nafasi tatu mpaka tano ndo afunge bao la kwanza..Na game dhidi ya Kagera Sugar kama angesambaza upendo kwa wachezaji wenzake matokeo yangekuwa zaidi ya hili bao moja.

Timu isingepata ushindi, bila shaka mashabiki walishapanga kumlaumu.
Unamlaumu nani kwa mpira ule uliochezewa kwenye jaruba la mpunga?

Back
Top Bottom