ninosi
Senior Member
- Jun 30, 2022
- 151
- 333
Leo (13/11/2022) imetimia miezi miwili (siku 62) tangu yule mshambuliaji 'machachari' Fiston Mayele afunge goli katika NBC PL. Ikumbukwe Mayele ndiyo mchezaji pekee ambaye 'tunaimani' anaenda kutuvusha group stage ya CAFCC mbele ya Pyramid na TP Mazembe.
Wanayanga kipindi 'tunaendelea' kuhesabu ile rekodi yetu ya unbeaten katika NBC PL, tukumbuke kuhesabu na hii rekodi ya mshambuliaji 'machachari' Fiston Mayele.
NB: Nashauri mechi ijayo ya NBC PL (17/11/2022) dhidi ya Singida Big Stars (tawi letu), tusimame na kupiga makofi katika dk ya 46 na 66 ili kuzienzi rekodi zetu zifuatazo:-
1. Yanga SC kucheza mechi 46 bila kupoteza mechi.
2. Fiston Mayele kutimiza siku 66 tangu mara ya mwisho alipofunga goli katika NBC PL.