Achana na Toyota IST chukua huyu mnyama


Shukrani mkuu,

Hivyo ushauri wako ni kama mtu anataka nunua Audi, at any cost inabidi kuavoid yenye iko na DSG gearbox?
 
Shukrani mkuu,

Hivyo ushauri wako ni kama mtu anataka nunua Audi, at any cost inabidi kuavoid yenye iko na DSG gearbox?
Na nyingi zina DSG.... Kama hiyo A1 wametoa Automatic zenye DSG na manual tu... hakuna matoleo mengine....

Pia siyo rahisi sana kujua kama gari ina DSG... Unless uwe umeendesha.... Au uchimbe sana mtandaoni.
 
Gari gani ambayo sio hybrid ya cc hizo ikupe 23km/L 😁
 
Kwan variable valve timing kwenye IST hamna
 
HuWa nainjoi Sana na comments zako hasa kwenye magari ya mzungu.....Kwa kifupi magari yetu ya Toyota mengi ni 4 speed transmission hapa ndipo shida inapoanza ingawa wengi wanoendesha haya magari ya kijapan hawajui kuwa gari yake haina uwezo WA kubishana na mjerumani.

Kwa mfano Volkswagen golf GTi ni 7 speed transmission(DSG) alafu ina turbocharger, dashboard yake inasoma speed 300 km/h SASA bila kuelewa unakuta mwenye Toyota runx au allex anataka kubishana nalo kwasababu Tu inafanana muundo WA body
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…