Hii ni inferiority mkuu.
Mimi hakuna sehemu nilimention turbo.
Au unahisi engine zote za Wajerumani zina turbo ndio maana zinajiweza?
Haya twende
Kuna engine ya VW inaitwa CHYB ina Cc 999, Haina turbo na wala siyo FSI. Imefungwa kwenye Baadhi ya Polo lakini pia imefungwa Kwenye Audi A1 toleo la UK.
Hiyo engine ina produce 74HP.
Tuje kwa 2NZ, Pamoja na kwamba ina Cc1290, Almost Cc 300 zaidi ya hiyo CHYB lakini inazalisha 84HP tu.
Mbaya zaidi kwenye Audi au VW hiyo engine inafungwa na 5 speed transmission wakati kwenye IST inafungwa na 4 speed transmission.
Sijui nimeeleweka?
Comparison yangu ilikuwa Cc1000 za mjerumani kwa Cc1200 za mjapani. Comparison ya hapa kuna gape la Cc300....