GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hivi hujishtukii tu kuwa hauna Akili?Kufanya VIBAYA kwa simba msimu ujao si kwa sababu ya kile kinachoendelea klabuni hapo hivi sasa.
Bali ni UBORA watakao kuwa nao Mabingwa wa Kihistoria wa LigiKUU Tanzani Bara.
Kazi kubwa mtakuwa nayo msimu ujao, Mnaanza kubomoa kikosi kwa asilimia kubwa, mtasajili wachezaji kibao ili kujijenga upya, mtakuwa na kocha mpya, Kwa maana iyo basi mtakuwa mnaanza upya kutengeneza kikosi, kwenye wachezaji watakaosajiliwa kuna watakaofanya vizuri na kuna watakaochemsha wakati huo wenzenu yanga wanajazia wachezaji wachache kwenye upungufu nafikiri awatozidi 4 au 5 kujiimarisha zaidi kwa maana iyo mtaendelea kusota miaka mingine 4 au 5 kupata timu imara ni kama yanga ilivyokuwa inajitafuta kupata kikosi imara baada ya kutema rundo la wachezaji ambao walikuwa wanasajiliwa na awakidhi vigezo na kubadilisha makocha mara kwa mara kila kocha alikuwa anakuja na mifumo yake, Itoshe kusema ubingwa mtaendelea kuusikia kwenye bomba kwa miaka 4 au 5 mfululizoMeneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amewaomba radhi mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kufuatia na kikosi chao kupoteza mchezo wa tatu wa Ligi Kuu msimu huu.
Chanzo: Darmpya Blog
Huu Msamaha wenu utapokelewa na wana Simba SC wa hovyo, ila kwa wengine tunaona mnazidi Kutukera na Kutuboa.